Wambulu na kiswahili.

Wambulu na kiswahili.

Garmii

Senior Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
164
Reaction score
19
Jamaa moja alienda kijiji flan cha wambulu kwa nia ya kugombea ubunge,ikafika siku ya kumwaga sera na mwisho akasema naomben mnipe kura zenu kumbe kura kwa kimbulu ni ma....ko.nusura wamwue kwa fimbo.
 
Tehe tehe tehe....Una utani na Dr. ..... weye!!!
 
Back
Top Bottom