Wamatumbi ndio zetu

Penye riziki hapakosi fitna; hii life inataka uwe bandidu sana, vinginevyo watu wanakukwamisha. Hapo ungeletea figusu upo karibu na hospitali, hujakidhi vigezo au unaiba dawa serikalini. 😊
Bwashee uzuri mmoja mimi nikila vitu vyangu sio mwepesi
 
Pressure gani wewe.
Nakukumbusha kuwa nyavu hazitegwi hivyo
Huna biashara ya kwanzia mil 500 , wewe unakosa haki ya kunishauri mimi automatical tu.

Wala sio kwa ubaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…