Really niggaz need redemption. Ukichekacheka na Niggaz watakupandia hadi mabegani. Ndio maana Omar Mahita alikuwa katili (strict) niggaz wakamuogopa. Sidhani kuna yoyote awe ndugu ama rafiki anaweza kumsogelea Mahita kumpiga mzinga.Kwenye moja na mbili mkoa x nimefungua famasi , inauza jumla na reja reja , inafanya vizuri .
Picha lianza kibaka mmoja yupo hospital x kanichongea kwa mfamasia wa mkoa , mbaya zaidi mfamasia ni familia , kapiga simu moja tu , ana bia zake , za mwaka mzima bar x .
Wamatumbi dawa yao ni moja tu , piga kwenye mshono mamaeee
Mbaya ,zaidi kwenye ulimwengu wa pesa mimi sichekeshiReally niggaz need redemption. Ukichekacheka na Niggaz watakupandia hadi mabegani. Ndio maana Omar Mahita alikuwa katili (strict) niggaz wakamuogopa. Sidhani kuna yoyote awe ndugu ama rafiki anaweza kumsogelea Mahita kumpiga mzinga.
adriz de mbusii
Sio ilikua hewani hii ya mabiabiaKwani leo ni juma ngap bwashee 😜
Aya twendeTwende selfika tuselfike tuone nan ana kiriba tumbo na kamasi
Sawa bwasheeAnza bwashee nitag halafu hakuna kufutta
Bwashee na inatakiwa kuwa hivyo ukimfurahisha kila mtu kwenye pesa utakufa maskini.Mbaya ,zaidi kwenye ulimwengu wa pesa mimi sichekeshi