Ndiyo. Hilo halina ubishi.Uwazi ni kuwa hata Marekani ajira ni the best kuliko chochote kwanza
Hahahahahaaaaa. Lakini sisi wa migombani si unatuona ni watofauti na wamatumbi wengine?Mtoto akirudi shule anaishia dukani ,halafu anarudi jioni nyaumbani pamoja na wazazi wake...Dukani,unawakuta familia nzima ,hauwezi kufananisha na ngozi nyeusi.
Mwafrika akienda kwa mganga ,anadanganywa ndugu zake ndiyo wanamroga ,kma alivyo Hassan Mwakinyo ,akishindwa kwenye biashara zake za ngumi anageukia kulaumu ndugu zake ,eti wanamrudisha nyuma ,mara wanamchukia ...Ujinga mtupu ,kazi kwenda kwa waganga kila siku ,na huko kwa waganga wanapandikizwa chuki...Mwakinyo kabki kulaumu tu ndugu zake na kuropoka mitandaoni.
Kijana ya Tanga haina akili bwasheeHahahahahaaaaa. Lakini sisi wa migombani si unatuona ni watofauti na wamatumbi wengine?
Monetary doctor min -me maranguvillage
Ni huzuni kwa kweli ila ni unakuta ni jamii imerithishwa kuwa hivyoMtoto akirudi shule anaishia dukani ,halafu anarudi jioni nyaumbani pamoja na wazazi wake...Dukani,unawakuta familia nzima ,hauwezi kufananisha na ngozi nyeusi.
Mwafrika akienda kwa mganga ,anadanganywa ndugu zake ndiyo wanamroga ,kma alivyo Hassan Mwakinyo ,akishindwa kwenye biashara zake za ngumi anageukia kulaumu ndugu zake ,eti wanamrudisha nyuma ,mara wanamchukia ...Ujinga mtupu ,kazi kwenda kwa waganga kila siku ,na huko kwa waganga wanapandikizwa chuki...Mwakinyo kabki kulaumu tu ndugu zake na kuropoka mitandaoni.
Mkuu stay on the context ya mada unaruka ruka sanaTembea hapa nchini uone waarabu wenye maisha ya kawaida tu. Wapo wengi. Mambo sio rahisi kama unavyofikiri. Kwa hiyo wale waarabu elfu 50 wa morocco waliokimbilia spain na wengine kufa wameshindwa kujiajiri kwao wanaenda kujiajiri spain?
Shenzi ww 🤣Eh! Eh! Eh! Ngosha ulikuwa beach?
Hujashusha mizigo kwenye maji ukachafua bahari kweli?
Lazima utakuwa uliacha amoeba zako 😹😹😹
Wasukuma mmezoea kunya ziwani nna wasiwasi na baharini umeshusha furushi..!! 😹😹😹Shenzi ww 🤣
Unafikiri na mm naushamba wa kimasai mnaenda na ngombe mpaka ziwani alaf zinaliwa na mamba?
Kama hili , .maswala ya kukata gogo kichakani ni nnje nnje , michango yake inasadifuWasukuma mmezoea kunya ziwani nna wasiwasi na baharini umeshusha furushi..!! 😹😹😹