Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 Oct 3, 2012 #41 Rutashubanyuma said: na wanacheza kabumbu na sime kiunoni.....................hii yatisha Click to expand... Si sana. Ni kawaida ya dunia ya leo kwani nimewahi ona waarabu fulani wakiswali huku mitutu imening'inia
Rutashubanyuma said: na wanacheza kabumbu na sime kiunoni.....................hii yatisha Click to expand... Si sana. Ni kawaida ya dunia ya leo kwani nimewahi ona waarabu fulani wakiswali huku mitutu imening'inia
Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,622 Reaction score 8,427 Oct 3, 2012 #42 Ha ha aha aha na panga kiunoni
E Elizabeth Dominic Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 4,555 Reaction score 3,660 Oct 3, 2012 #43 Boflo kama sikosei hao wamasai wa Mikadi beach................mi waliwahi nisuka hao jamaa moja alinikalia kwa mbele, hamad! nisishuhudie kibunduki, sikuwa hata na hamu ya kuendelea kusukwa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Boflo kama sikosei hao wamasai wa Mikadi beach................mi waliwahi nisuka hao jamaa moja alinikalia kwa mbele, hamad! nisishuhudie kibunduki, sikuwa hata na hamu ya kuendelea kusukwa
Tram Almasi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 748 Reaction score 227 Oct 3, 2012 #44 Lahaula!
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,380 Reaction score 99,182 Oct 3, 2012 #45 Disco Lishaingia Mmasai