Wamasai tuungane nao, Tupaze sauti wanahaki ya kuishi Ngorongoro na Loliondo

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,034
Wamasai, wamasai,

Mna kila haki ya kuishi kwenye ardhi yenu mnayomiliki kisheria na ardhi ya mababu zenu,

Miaka yote mmekua hapo na mnakila sababu ya kua hapo mlipo.

Serikali iache janja janja wala wasitishe watu kama kuna wawekezaji warudishiwe pesa yao kuliko.

Muwadanganye maana amani ikitoweka msidhani itakua salama.
 
Ww mmasai hujui hata sheria ya ardhi, ww una ardhi yako nchi hii? Humiliki ardhi hata kidogo, ardhi ni ya serikali, watu wamehamishwa katika migodi ya dhahabu, almasi na madini mbali mbali na serikali inakupa sehemu nyingine ya kuhamia.

Tokea lini wamasai ndio wana ardhi yao? Au wamasai wanakaa nchi nyingine?
 
Wamasai, wamasai,

Mna kila haki ya kuishi kwenye ardhi yenu mnayomiliki kisheria na ardhi ya mababu zenu,

Miaka yote mmekua hapo na mnakila sababu ya kua hapo mlipo.

Serikali iache janja janja wala wasitishe watu kama kuna wawekezaji warudishiwe pesa yao kuliko.

Muwadanganye maana amani ikitoweka msidhani itakua salama.
 
Tulia ww si mlishangilia kuonyesha jengo kubwa duniani na mikopo ya bei nafuu hayo ndo malipo yake sasa.
 
Back
Top Bottom