usinijibu hivyo
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 248
- 329
Hawa Waarabu Jasiri sana
Mtu hadi amewekewa kitanzi Shingoni bado anasema:" Mungu Mkubwa na siogopi yeyote ata mkiniua"
Mimi kamba shingoni lazima chozi
Kweli Mkuu mtu anaambiwa tunakuua kitanzi shingoni anasemaNi jasiri sana ndio maana baadhi ya nchi za kiarabu wameweza kufaidika na mafuta yao tofauti na nchi za kiafrika zinavyo gwaya kunufaika na madini na mafuta yao
Imani yao ya kiislamu inawafanya wamuone mzungu kama kitu cha kawaida au chini ya hapo
Ujasiri wao huo huo ndio unawafanya wamalizane wanapopigana wenyewe kwa wenyewe
Hawa Waarabu Jasiri sana
Mtu hadi amewekewa kitanzi Shingoni bado anasema:" Mungu Mkubwa na siogopi yeyote ata mkiniua"
Mimi kamba shingoni lazima chozi
Angejishuti asingepata muda wakusema ukweli kizimbani hapoSioni ujasiri wowote hapo... Ukishawekewa kitanzi ukajua hakuna kubatilisha... Unaweza sema lolote... So hamna ujasiri wowote hapo. Tena unaweza hata watukana... Angekuwa shujaa asingekamatwa kwenye shimo kama panya mtu aliyekuwa na walinzi n.k ningekuwa mimi ngeji shoot kuliko kudhalilishwa kama saddam.shujaa alikuwa mkwawa ambaye hakutaka hata wamkamate...
Kweli Mkuu mtu anaambiwa tunakuua kitanzi shingoni anasema
Ni ue na Mwogopa Mungu tu
Moyo wa ajabu sana hawa watu
Angejishuti asingepata muda wakusema ukweli kizimbani hapo
Mabaya tu yangesambaa bila upande wa pili
Osama alifight kidogo kivipi? Hiyo sehemu ya habari ilinipitia.Unataka asemeje sasa? Hamna ujasiri hapo... Ni kauli ya mfa maji. Lolote ambalo angesema lisingemsaidia.unadhan angeomba msamaha wangemsamehe? Hamna ujasiri wowote hapo.afadhali na osama aliye fight kidogo...ila angekuwa shujaa angejilipua na wale wamarekani wote wafe.... Ila utaona yeye hakuwa akitaka kufa ila ana support watoto wa wenzie wakafe.
Wale waliyomuua wako wapi sahv au marais waliyomletea chokochoko Mzee bush sr Yuko wapiSioni ujasiri wowote hapo... Ukishawekewa kitanzi ukajua hakuna kubatilisha... Unaweza sema lolote... So hamna ujasiri wowote hapo. Tena unaweza hata watukana... Angekuwa shujaa asingekamatwa kwenye shimo kama panya mtu aliyekuwa na walinzi n.k ningekuwa mimi ngeji shoot kuliko kudhalilishwa kama saddam.shujaa alikuwa mkwawa ambaye hakutaka hata wamkamate...
Hata sijui anyejuta pale. Kwasababu Suni hawakutaka aondolewe, Shiha/Shiite, wale ndo walishirikiana na wamarekani kumuondoa. So Sunni hawawezi kujuta kwasababa hawakutaka wamarekani wamuondoe Saddam, where as hao Shiite ambao ni wengi na wana asili ya Iran, wao walitaka mabadiliko kwasbabu all the state apparatus where under Sunnis. Jeshi, polisi etc. Chini ya Ba’ath party. Hao hawawezi kujuta, even tho wanamchukulia mmarekani kama “baniani mbaya”, ndo maana wale Mahdi army chini ya Muqtada Al Sadar, walikuwa bado hawashirikiani moja kwa moja na wamarekani, pamoja na kwamba adui wao ni mmoja(Sunnis)Ukiwa na waIRAQI kwa sasa, wanajuta na wanamuenzi Saddam, nchi ilikuwa na maendeleo walisimamia uchumi wao vizuri , mashirika ya mafuta yalukuwa 100% ya serekali na hapakuwa na wazungu wafanyikazi hata 1%, all CEOs, Engineers, Technicians walikuwa wao wenyewe.
Iraq ilikuwa nchi moja Leo iko vipande vinne.
Sioni ujasiri wowote hapo... Ukishawekewa kitanzi ukajua hakuna kubatilisha... Unaweza sema lolote... So hamna ujasiri wowote hapo. Tena unaweza hata watukana... Angekuwa shujaa asingekamatwa kwenye shimo kama panya mtu aliyekuwa na walinzi n.k ningekuwa mimi ngeji shoot kuliko kudhalilishwa kama saddam.shujaa alikuwa mkwawa ambaye hakutaka hata wamkamate...
Just to update you, there is no doubt Saddam alikuwa Dikteta, na alikuwa sio a strong believer of religion, Baathist wanakaribiana na communist, nimefanya kazi Saudi, Kuwait na Abu Dhabi, i had done across many Iraqi Arabs, even those against Saddam where United as one and without religious affiliations. Iraqi people are the most nationalistic people in the Arab world and religion didn't play a big role. Infact part from the Tikriti Sunnis who were favored but Sunnis or Shia who were against his regime were treated the same.Hata sijui anyejuta pale. Kwasababu Suni hawakutaka aondolewe, Shiha/Shiite, wale ndo walishirikiana na wamarekani kumuondoa. So Sunni hawawezi kujuta kwasababa hawakutaka wamarekani wamuondoe Saddam, where as hao Shiite ambao ni wengi na wana asili ya Iran, wao walitaka mabadiliko kwasbabu all the state apparatus where under Sunnis. Jeshi, polisi etc. Chini ya Ba’ath party. Hao hawawezi kujuta, even tho wanamchukulia mmarekani kama “baniani mbaya”, ndo maana wale Mahdi army chini ya Muqtada Al Sadar, walikuwa bado hawashirikiani moja kwa moja na wamarekani, pamoja na kwamba adui wao ni mmoja(Sunnis)
Minorities waliosalia, mfano Kurds, wao nao hawawezi kujuta, kwasababu wamepata autonomy na “Kurdistan”, so wana kataifa kao mle ndani ya Iraqi, upande wa kusini kama sikosei.
Imani yake haimruhusu kujiuwaAlishadhalilishwa hakuwa na ujasiri wowote...alikaguliwa mdomoni na kwenye nywele kama mtoto...ulimwona alivyokuwa amechoka na mchafu....? Hamna ukwel wowote ambao alikuwa nao... He wasnt even a hero.kafa kifala sana...kwa kunyongwa.... Helplessly.
kunyongwa kifo cha kifala?hahahaa.Alishadhalilishwa hakuwa na ujasiri wowote...alikaguliwa mdomoni na kwenye nywele kama mtoto...ulimwona alivyokuwa amechoka na mchafu....? Hamna ukwel wowote ambao alikuwa nao... He wasnt even a hero.kafa kifala sana...kwa kunyongwa.... Helplessly.