fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,915
Hakuwa jasir. Sisi wabongo ndio majasir hataukiwa unadhurumiwa unaishia kumshukuru MUNGU.
Ha ha ha kama unapika biringanyaJifunze kuwa "specific and to the point "!Unazungukazunguka kama unapika biringanya? Unaulizwa swali dogo, weye unanitungia kitabu?
Aaargh! Anachosha huyo jamaa. Ananiandikia waraka kwani mimi Pengo?Ha ha ha kama unapika biringanya
Jifunze kuwa "specific and to the point "!Unazungukazunguka kama unapika biringanya? Unaulizwa swali dogo, weye unanitungia kitabu?
Mtu aliyekuwa ana walinzi warembo wanaotumia bastola zilozotengenezwa Kwa vito vya thamani (almasi na dhahabu) anakufa kama panya. Kweli malipo ni duniani.
Umekunywa chai mkuu? Unapepeta maneno kweli!Mkuu, Nisingezunguka na kuleta maneno mengi ungeleta hoja ingine inayo elea. Sasa hapo nimemaliza. Kila hoja ingine ambayo likely unaweza kuleta imeshajibiwa tayar. Au ntakuwa narudia nilicho sema
Kusini mpaka kaskazin, magharib mpaka mashariki mwa dunia ni mwafrika mweusi peke yake aliye bize kutaka kujipendekeza ama kwa mzungu au kwa mwarabu. Mchina anakuja sasa, nafikiri tutaanza kuhamisha magoli. Uliniboa uliposema eti nawapenda Waarabu!
Hio dhana mmeitoa wap? 😀Unajua ukifa kwa kudharilishwa unawatia woga vizazi na vizazi vyako bora kufa kama shujaa mkwawa
Unapotosha. Post Number 49 amekusaidiaHio dhana mmeitoa wap? 😀
Ujue yesu kadhalilishwa msalabani sasa niwaulize wafuasi wake wana woga au?
Saddam ni muislam, yeye kunyongwa ujue wamempunguzia adhabu kwa Mungu, kama alifanya mauaji, basi na yeye kauliwa, haki imetendeka, akienda kwa Mungu hana dhambi ya kuua tena.
Angelijiua manakeamejidhulumu nagsi, sasa uko mbele anapokwenda ingekuwa imekula kwake
Onyesha wapi nimepotosha! 😀 mana kilichoandikwa hio post na nlichosema kuhusu saddam kujiua hakuna tofautiUnapotosha. Post Number 49 amekusaidia