Wamarekani waliponikamata waliniibia saa yangu.Sadam Hussein

Hawa Waarabu Jasiri sana
Mtu hadi amewekewa kitanzi Shingoni bado anasema:" Mungu Mkubwa na siogopi yeyote ata mkiniua"

Mimi kamba shingoni lazima chozi

Ni jasiri sana ndio maana baadhi ya nchi za kiarabu wameweza kufaidika na mafuta yao tofauti na nchi za kiafrika zinavyo gwaya kunufaika na madini na mafuta yao

Imani yao ya kiislamu inawafanya wamuone mzungu kama kitu cha kawaida au chini ya hapo

Ujasiri wao huo huo ndio unawafanya wamalizane wanapopigana wenyewe kwa wenyewe
 
Kweli Mkuu mtu anaambiwa tunakuua kitanzi shingoni anasema
Ni ue na Mwogopa Mungu tu
Moyo wa ajabu sana hawa watu
 
Sioni ujasiri wowote hapo... Ukishawekewa kitanzi ukajua hakuna kubatilisha... Unaweza sema lolote... So hamna ujasiri wowote hapo. Tena unaweza hata watukana... Angekuwa shujaa asingekamatwa kwenye shimo kama panya mtu aliyekuwa na walinzi n.k ningekuwa mimi ngeji shoot kuliko kudhalilishwa kama saddam.shujaa alikuwa mkwawa ambaye hakutaka hata wamkamate...

Hawa Waarabu Jasiri sana
Mtu hadi amewekewa kitanzi Shingoni bado anasema:" Mungu Mkubwa na siogopi yeyote ata mkiniua"

Mimi kamba shingoni lazima chozi

Sioni ujasiri wowote hapo... Ukishawekewa kitanzi ukajua hakuna kubatilisha... Unaweza sema lolote... So hamna ujasiri wowote hapo. Tena unaweza hata watukana... Angekuwa shujaa asingekamatwa kwenye shimo kama panya mtu aliyekuwa na walinzi n.k ningekuwa mimi ngeji shoot kuliko kudhalilishwa kama saddam.shujaa alikuwa mkwawa ambaye hakutaka hata wamkamate...
Angejishuti asingepata muda wakusema ukweli kizimbani hapo
Mabaya tu yangesambaa bila upande wa pili
 
Unataka asemeje sasa? Hamna ujasiri hapo... Ni kauli ya mfa maji. Lolote ambalo angesema lisingemsaidia.unadhan angeomba msamaha wangemsamehe? Hamna ujasiri wowote hapo.afadhali na osama aliye fight kidogo...ila angekuwa shujaa angejilipua na wale wamarekani wote wafe.... Ila utaona yeye hakuwa akitaka kufa ila ana support watoto wa wenzie wakafe.
Kweli Mkuu mtu anaambiwa tunakuua kitanzi shingoni anasema
Ni ue na Mwogopa Mungu tu
Moyo wa ajabu sana hawa watu
 
Alishadhalilishwa hakuwa na ujasiri wowote...alikaguliwa mdomoni na kwenye nywele kama mtoto...ulimwona alivyokuwa amechoka na mchafu....? Hamna ukwel wowote ambao alikuwa nao... He wasnt even a hero.kafa kifala sana...kwa kunyongwa.... Helplessly.

Angejishuti asingepata muda wakusema ukweli kizimbani hapo
Mabaya tu yangesambaa bila upande wa pili
 
Ukiwa na waIRAQI kwa sasa, wanajuta na wanamuenzi Saddam, nchi ilikuwa na maendeleo walisimamia uchumi wao vizuri , mashirika ya mafuta yalukuwa 100% ya serekali na hapakuwa na wazungu wafanyikazi hata 1%, all CEOs, Engineers, Technicians walikuwa wao wenyewe.

Iraq ilikuwa nchi moja Leo iko vipande vinne.
 
Unataka asemeje sasa? Hamna ujasiri hapo... Ni kauli ya mfa maji. Lolote ambalo angesema lisingemsaidia.unadhan angeomba msamaha wangemsamehe? Hamna ujasiri wowote hapo.afadhali na osama aliye fight kidogo...ila angekuwa shujaa angejilipua na wale wamarekani wote wafe.... Ila utaona yeye hakuwa akitaka kufa ila ana support watoto wa wenzie wakafe.
Osama alifight kidogo kivipi? Hiyo sehemu ya habari ilinipitia.
 
Sioni ujasiri wowote hapo... Ukishawekewa kitanzi ukajua hakuna kubatilisha... Unaweza sema lolote... So hamna ujasiri wowote hapo. Tena unaweza hata watukana... Angekuwa shujaa asingekamatwa kwenye shimo kama panya mtu aliyekuwa na walinzi n.k ningekuwa mimi ngeji shoot kuliko kudhalilishwa kama saddam.shujaa alikuwa mkwawa ambaye hakutaka hata wamkamate...
Wale waliyomuua wako wapi sahv au marais waliyomletea chokochoko Mzee bush sr Yuko wapi

Ova
 
Ukiwa na waIRAQI kwa sasa, wanajuta na wanamuenzi Saddam, nchi ilikuwa na maendeleo walisimamia uchumi wao vizuri , mashirika ya mafuta yalukuwa 100% ya serekali na hapakuwa na wazungu wafanyikazi hata 1%, all CEOs, Engineers, Technicians walikuwa wao wenyewe.

Iraq ilikuwa nchi moja Leo iko vipande vinne.
Hata sijui anyejuta pale. Kwasababu Suni hawakutaka aondolewe, Shiha/Shiite, wale ndo walishirikiana na wamarekani kumuondoa. So Sunni hawawezi kujuta kwasababa hawakutaka wamarekani wamuondoe Saddam, where as hao Shiite ambao ni wengi na wana asili ya Iran, wao walitaka mabadiliko kwasbabu all the state apparatus where under Sunnis. Jeshi, polisi etc. Chini ya Ba’ath party. Hao hawawezi kujuta, even tho wanamchukulia mmarekani kama “baniani mbaya”, ndo maana wale Mahdi army chini ya Muqtada Al Sadar, walikuwa bado hawashirikiani moja kwa moja na wamarekani, pamoja na kwamba adui wao ni mmoja(Sunnis)

Minorities waliosalia, mfano Kurds, wao nao hawawezi kujuta, kwasababu wamepata autonomy na “Kurdistan”, so wana kataifa kao mle ndani ya Iraqi, upande wa kusini kama sikosei.
 
Sioni ujasiri wowote hapo... Ukishawekewa kitanzi ukajua hakuna kubatilisha... Unaweza sema lolote... So hamna ujasiri wowote hapo. Tena unaweza hata watukana... Angekuwa shujaa asingekamatwa kwenye shimo kama panya mtu aliyekuwa na walinzi n.k ningekuwa mimi ngeji shoot kuliko kudhalilishwa kama saddam.shujaa alikuwa mkwawa ambaye hakutaka hata wamkamate...

Shujaa unajishoot unaogopa kitanzi kifo cha slow motion? Ndio unajiona shujaa? 😀 😀 au pussy tu?

Shujaa anaogopa kudhalilishwa?
 
Jasir chief mkwawa peke yake hasa huyu kashaambiwa lazima uning'inie unadhan angesema nini
 
Hata sijui anyejuta pale. Kwasababu Suni hawakutaka aondolewe, Shiha/Shiite, wale ndo walishirikiana na wamarekani kumuondoa. So Sunni hawawezi kujuta kwasababa hawakutaka wamarekani wamuondoe Saddam, where as hao Shiite ambao ni wengi na wana asili ya Iran, wao walitaka mabadiliko kwasbabu all the state apparatus where under Sunnis. Jeshi, polisi etc. Chini ya Ba’ath party. Hao hawawezi kujuta, even tho wanamchukulia mmarekani kama “baniani mbaya”, ndo maana wale Mahdi army chini ya Muqtada Al Sadar, walikuwa bado hawashirikiani moja kwa moja na wamarekani, pamoja na kwamba adui wao ni mmoja(Sunnis)

Minorities waliosalia, mfano Kurds, wao nao hawawezi kujuta, kwasababu wamepata autonomy na “Kurdistan”, so wana kataifa kao mle ndani ya Iraqi, upande wa kusini kama sikosei.
Just to update you, there is no doubt Saddam alikuwa Dikteta, na alikuwa sio a strong believer of religion, Baathist wanakaribiana na communist, nimefanya kazi Saudi, Kuwait na Abu Dhabi, i had done across many Iraqi Arabs, even those against Saddam where United as one and without religious affiliations. Iraqi people are the most nationalistic people in the Arab world and religion didn't play a big role. Infact part from the Tikriti Sunnis who were favored but Sunnis or Shia who were against his regime were treated the same.

Saddam did commit atrocities on the kurds. To correct you today there are more than 6 shiite groups,3 kurds and similarly divided sunnis and all don't see eye to eye. Kwa hivyo wote need a uniting force or iraq will be divided very soon
 
Alishadhalilishwa hakuwa na ujasiri wowote...alikaguliwa mdomoni na kwenye nywele kama mtoto...ulimwona alivyokuwa amechoka na mchafu....? Hamna ukwel wowote ambao alikuwa nao... He wasnt even a hero.kafa kifala sana...kwa kunyongwa.... Helplessly.
Imani yake haimruhusu kujiuwa
 
Alishadhalilishwa hakuwa na ujasiri wowote...alikaguliwa mdomoni na kwenye nywele kama mtoto...ulimwona alivyokuwa amechoka na mchafu....? Hamna ukwel wowote ambao alikuwa nao... He wasnt even a hero.kafa kifala sana...kwa kunyongwa.... Helplessly.
kunyongwa kifo cha kifala?hahahaa.
kifo chochote unachokijua kwamba kitakutokea ni kifo cha kishujaa.
yaani unajua kabisa hapa Leo nanyongwa.hapa Leo napigwa shot nakufa.
 
Jasiri gani alikamatwa shimoni na kipande cha mkate na ndizi!!??
Any way ni majasiri ndio maana wanajilipua !! Kuvaa mabomu mwili mzima huku unajua unaenda kujigeuza vipande vya nyama ni ujasiri wa kipumbavu sana!
 
Ata Mungu wenu Yesu hakuwa jasiri....haiwezekani wewe ndio Mungu unaanikwa na Chupi juu ya Mti na Binadamu ulio waumba....hahahhahahahah!!!!!
 
Jasiri au mjinga?? Unakubalije kuvalishwa kitanzi? Angejiua ningemuona jasiri. Unanyongwa halafu uwe jasiri wa kijiji gani? Afie mbali huko!
 
Back
Top Bottom