Wamakonde mna nini lakini?

Wamakonde mna nini lakini?

jozee jose

Senior Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
147
Reaction score
359
Kuna mtu mmoja amewahi kusema ntwara(mtwara ) haikuwa ndani ya Tanzania bali ulikuwa ukanda wa Msumbiji, Yawezekana yakawa ni ya kweli mimi sina uhakika.
Dondoo hizi zinahusu mambo ya kunishangaza ambayo nimewahi kuyaona ntwara
1. Ukitembea muda wa mchana utaona kana kwamba mji una vijana wa kiume tuuu wakike namba ikiwa chache saana na binti ukimuona full juba juu hadi chini,
Sasa tembea usiku kuanzia saa mbili hadi saa 10 usiku😃😃 idadi ya wanawake inazidi wanaume na hutaona juba hata moja.

2.Bei ya samaki ni kubwa utadhani bahari ipo Songea
3.Kila mtu ni mjuaji saaana ,hata kama hajui jambo ataelezea kwa kina na ubishi juu😆😆

3.Watu waliopanga sehemu moja wanachukuliana wake au waume na wanajua kuwa wanachukuliana na wanakaushaaa kama hawajui kinachoendelea(kiufupi hawana wivu )

4.Mabinti wana sauti sana kwenye familia zao kwa kuwa hutegewa kuongeza kipato hasa kwa masingle maza

5.Wauza mkaa zaidi 97% hawana simu za mkononi , hivyo ukiitaji mkaa subiri njiani apite😃😃

6.Kama umejipanga kumpa mimba binti wa kimakonde hata awe mwanafunzi jua umefail, mbaka aamue yeye kuipata mimba hiyo maana P2 wanatumia hata wa shule za msingi
7.Mtwara ni mkoa unaoongoza kulima korosho , Sasa njoo ununue korosho hapa mjini utaona kilo moja ni kiasi gani😂😂 ,yaani hata wenyeji wanaziangalia tu
8.Mtu mzima wa miaka 50 anaweza tukanana na kijana wa miaka 13 kwa matusi mazito na watu huona kawaida tu
9. Wamakonde wakishika pesa wanasahau kama kutakuwa na Shida badae, hutumie pesa zoote na unarudi kwenye ukata tena na anajifariji kwa kusema MAISHA NI HAYAHAYA
11. 99.9% ya mabinti waliopanga utakuta wana watoto ila wamewaacha kwa wazazi wao, you know what I'm trying to say? 😃😃😃 jichanganye uone
12.Takwimu za haraka ni kwamba wanawake wengi wameshazoea kuingiliwa nyuma (I'm not so sure for this)
Kuna mengi saana, kama nawewe umewahi kufika mtwara na una jambo hebu lishushe tulijue
Asanteni nawasilisha
 
Siyo mtwara ni mtwara😂😂
 
Ntwara moja, binti wa kimakonde inabidi uishi nae kijasusi ata kama amezaliwa ntwara
 
Back
Top Bottom