lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,151
- 33,333
Kumbe Nchi za Magharibi walikubaliana na Urusi kuwa hawata utanua umaja wa kujihami wa nchi hizo,yaani NATO.
Lakini kumbe kwa Hila zao za kutaka kuizunguka kijeshi Urusi wakaendelea kujiunga nchi nyingine katika umoja huo.Urusi ilikua mstahamilifu na mvumilivu.waliziunga nchi kama Poland,Estonia na nchi nyingine.
Urusi ikawakumbusha lakini wakaiona kama hamnazo.
Sasa wakataka kujiunga Ukraine,Ukraine ni mpaka mkubwa na Urusi.
Kama Ukraine ikijiunga na NATO maana yake ni kuwa Marekani itakua na uwezo wa kuchungulia ndani kabisa ya Urusi na kujua Nini kinafanyika huko.
Pia kama ikitokea vita Itakua rahisi kwa Marekani kuishambulia Urusi kutoka Ukraine.
Wasiwasi ndio akili huwezi kujua kesho ama keshokutwa nini kitatokea kuhusu uhasama kati ya Marekani na Urusi. Ulinzi wa taifa ni kuwa macho masala ishirini na nne.Urusi wameshitukia mchezo mchafu wa Marekani na ndio maana wemegeuka mbogo.kwenye ulinzi wa mipaka kama zilivyo nchi zote, Urusi hacheki na hatanii Yuko tayari kuingia vitamin na nchi yoyote na inakuja Haina maana kumiliki masilaha mazitomazito kama Kuna mtu atachezea mipaka au usalama wake.
Sasa Kuna gazeti/ jarida moja limefukunyua na kugundua kuwa ni kweli makubaliano baina ya nchi za Marekani, ufaransa na uingereza pamoja na Urusi kuwa NATO isiendelee kujitanua kuelekea Urusi. Hivyo Urusi ilidanganywa kuwa hawatajitanua lakini wamejitanua.
Nimekuwekea bandiko hapo chini ujisomee mwenyewe.
West promised not to expand NATO – Der Spiegel
NATO deceived Russia about expansion and a British document proves it, top German weekly discoversThe flags of member countries of North Atlantic Treaty Organization are seen at the Headquarter of NATO in Brussels, Belgium, February 17, 2022 © Dursun Aydemir / Anadolu Agency via Getty Images
A newly discovered document from March 1991 shows US, UK, French, and German officials discussing a pledge made to Moscow that NATO would not expand to Poland and beyond. Its publication by the German magazine Der Spiegel on Friday comes as expansion of the US-led bloc has led to a military standoff in Eastern Europe.
The minutes of a March 6, 1991 meeting in Bonn between political directors of the foreign ministries of the US, UK, France, and Germany contain multiple references to “2+4” talks on German unification in which the Western officials made it “clear” to the Soviet Union that NATO would not push into territory east of Germany.
“We made it clear to the Soviet Union – in the 2+4 talks, as well as in other negotiations – that we do not intend to benefit from the withdrawal of Soviet troops from Eastern Europe,” the document quotes US Assistant Secretary of State for Europe and Canada Raymond Seitz.
“NATO should not expand to the east, either officially or unofficially,” Seitz added.
A British representative also mentions the existence of a “general agreement” that membership of NATO for eastern European countries is “unacceptable.”
“We had made it clear during the 2+4 negotiations that we would not extend NATO beyond the Elbe [sic],” said West German diplomat Juergen Hrobog. “We could not therefore offer Poland and others membership in NATO.”
Screenshot of the minutes of a March 6, 1991 meeting of US, UK, French and German diplomats discussing NATO and Eastern Europe © screenshot via Kommersant
The minutes later clarified he was referring to the Oder River, the boundary between East Germany and Poland. Hrobog further noted that West German Chancellor Helmut Kohl and Foreign Minister Hans-Dietrich Genscher had agreed with this position as well.
The document was found in the UK National Archives by Joshua Shifrinson, a political science professor at Boston University in the US. It had been marked “Secret” but was declassified at some point.
Shifrinson tweeted on Friday he was “honored” to work with Der Spiegel on the document showing that “Western diplomats believed they had indeed made a NATO non-enlargement pledge.”
“Senior policymakers deny a non-expansion pledge was offered. This new document shows otherwise,” Shifrinson said in a follow-up tweet,