Wamachinga wavurugana kuhusu Machinga SACCOS

pitapiti

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
398
261
Wakuu Habari,

Hali isiyokuwa ya kawaida uongozi wa taifa wa Shirikisho la Machinga umeingia katika mgogoro mkubwa juu ya nani wa kuzamini na kusimamia Machinga SACCOS Kati ya NMB na CRDB kutofautiana huko kumesababisha kutokea mpasuko mkubwa wa kimaslahi Kati ya Pande hizo kinzani na kushtumiana kuwa kundi Moja limeongwa na CRDB kwa maslahi yao binafsi na si maslahi ya Wamachinga wenyewe.

Mkakati huo ukiongozwa na Kijana mmoja aliyejipa cheo katika Machinga SACCOS kama Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Machinga SACCOS ili Hali yeye si Machinga.
 
Back
Top Bottom