Waluguru walio China. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waluguru walio China.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by uporoto01, Jul 13, 2009.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Juzi kwenye kijiwe kimoja kariakoo ambapo huwa napata kahawa/tangawizi mara mojamoja ili kujua yanayotokea mitaani kulikuwa na mabishano makali kuhusu mapigano yaliyotokea China baina ya makabila ya Han na Uighurs. Mmoja wa wateja pale ambae ni mluguru alikua anawasikitikia sana wa-uighurs amabao yeye alidhani ni waluguru,mi wala simlaumu baada ya kusikia vituo vingi vya redio na luninga wanavyo tamka neno Uighur wanasema waurugu.
   
 2. c

  connections JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2016
  Joined: Apr 27, 2013
  Messages: 447
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Waluguru tupo juu mpaka uchi-na tumefika.
   
Loading...