Walokole wengi nuksi sana

M kuna demu wa kilokole tulipendana sana..mwanzoni nilimdanganya kua na mimi n mlokole..penzi likakolea sana..siku moja aligundua kua mimi ni msela tu wa kitaa..alinipiga chini kisa sijaokoka ingawa nilikua na malengo nae sana..
 
Nini maana ya kuokoka,ni kumuamini Yesu na kutubu dhambi kwa kumaanisha kuziacha,kwa kama mtu anasema ameokoka na bado anatenda dhambi huyo hajaokoka isipokua anasali kwenye makanisa ya watu waliookoka haijaalishi na cheo gani kanisani.Watu waliomwamini Yesu na kuishi maisha matakatifu wapo na ndio maana Zaburi 16:3 inasema watakatifu walioko duniani Mungu anapendezwa nao,nakukaribisha kwa Yesu okoka acha dhambi kwani baada ya kifo ni hukumu,Ebrania 9:27.
 
Nimekuelewa sanaaaa
 
M kuna demu wa kilokole tulipendana sana..mwanzoni nilimdanganya kua na mimi n mlokole..penzi likakolea sana..siku moja aligundua kua mimi ni msela tu wa kitaa..alinipiga chini kisa sijaokoka ingawa nilikua na malengo nae sana..
Alikupa papuchi
 
Kweli kabisa walokole wa kirutheri na wakatoliki hawan majivuno na hiyo ndo maan ya wokovu. Hakuna kujikweza bali unyenyekevu tu
 
Umenena vema sana mtu wa Mungu. Kusanyiko la Bwana limevamiwa na wanafiki wanaochafua taswira ya mwili wa Kristo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…