Walokole wa Lowassa, hadi kero!

Walokole wa Lowassa, hadi kero!

Mwaka Huu Tutaheshimiana Tu, Hakatwi Mtu Hapa, Mi Mpaka Nimeshonesha Chupi Yangu Imeandikwa Lowasa Rais, Dr Slaa Waziri Mkuu, Prof Lipumba Gavana Wa Benk Kuu, Mbatia Waziri Wa Mambo Ya Nje, Makaidi Waziri Wa Nchi Katika Ofisi Ya Rais. Halafu Kwenye Uchaguzi Watuibie Kura, Mbona Patachimbika!

Lakini ujitahidi kuifua mara kwa mara hiyo pichu, vinginevyo inaweza kutuletea gundu kwenye harakati za safari ya uhakika.
 
Back
Top Bottom