Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Ushapu na uchangamfu wa wafuasi wa EL, kwa maana ya 4UM,Friends of Lowasa, Team Lowassa katika mitandao ya kijamii (tangu kuhamia kwao CDM) umewafunika hata makamanda wa long time.
Hii inanikumbusha jamaa fulani waliwahi kuokoka kanisani - katika mda mfupi wa uokovu wao waliweza kucheza na kuimba mapambio kwa mikogo zaidi hata ya wenyeji.
Walikemea na kuomba kwa kulia kwa sauti ya juu hadi wakawa kero. 'Hii sasa sifa?' sauti ilisikika. Ndivo ilivyo kwa akina Ocampo four, MUSSA ALLAN, and the like hapa jukwaani.
Tangu 'wameokoka' wanashambulia jukwaa kwa fujo hadi kero.
Keep it up guys!