Kwa kweli watu wanafikia hadi hatua ya kuua kisa imani jinsi gani imani siyo kitu cha mchezoNi ngumu sana I seee kubadili mindset ya mtu wakati kaamimishwa hivyo tangu utotoni kupitia kitabu chake. Hakuna kitu hatari kama Imani ya mtu.
Hehehehe labda kaamua kuusupport uislam kwenye swala la ndoa tu sababu ya sheria inayoruhusu wanaume kuoa wake wanne maana hapo kwenye hiyo sheria ya kuoa wake wanne ndipo wanaume wengi hata wasio na dini wanapousupport uislamAcha kuongea uongo na hapa ndio nathibitisha, hii hapa chini ni moja kati ya post zako na uliandika mwenyewe kuwa Uislam sio dini, kwamaana hiyo iweje leo ujiite Muislam, acha uongo Wewe sio Muislam
Cc: EdelynView attachment 1124065
Jinsi gani shetani ameiteka dunia kwenye dhambi ya uzinzi na uasherati kuliko kwenye dhambi nyingine yoyote duniani"nature" ilitengeneza tendo la kujamiiana kwa ajili ya kuzaana na kuongezeke, wanyama wote wameweza kufuata kusudio hili la asili (wanyama wote hufanya hivi wanapokuwa kwenye "joto lao" isipokuwa mwanadamu tu ambaye amelifanya kuwa burudani....ngono ni kwa ajili ya kuzaana tu na sio burudani!
Ukiwa Muislam kuwa Muislam full na hata ukiwa Mkristo kuwa Mkristo full sio kujaribu kubalance upande mmoja na mwingine, huko ni kukosa imani, maana huwa kama unabet. Kuhusu huyu jamaa kiukweli sio Muislam, kwa maana hakuna muislam anaeyakana Maandiko yahusuyo Uislam. Mada zote anazochangia kuhusu Uislam huwa anapinga wazi wazi. Kwa akili zake anafikiri hatumjui au hatuna kumbukumbu zake.Hehehehe labda kaamua kuusupport uislam kwenye swala la ndoa tu sababu ya sheria inayoruhusu wanaume kuoa wake wanne maana hapo kwenye hiyo sheria ya kuoa wake wanne ndipo wanaume wengi hata wasio na dini wanapousupport uislam
Ndo hivyo humu jf kuna watu wa kila aina kama wapo watu wanaojibadilisha jinsia watakosekana wanaojibadilisha dini kweli? Cha msingi ni kuenda naye sambamba kutokana na alichopost kwa wakati huo tu maana ukisema uwafuatilie watu vizuri humu utachanganyikiwa bure tu cha muhimu ni kuchangia tu mada wa kumuunga mkono wamuunge wa kumkosoa wamkosoeUkiwa Muislam kuwa Muislam full na hata ukiwa Mkristo kuwa Mkristo full sio kujaribu kubalance upande mmoja na mwingine, huko ni kukosa imani, maana huwa kama unabet. Kuhusu huyu jamaa kiukweli sio Muislam, kwa maana hakuna muislam anaeyakana Maandiko yahusuyo Uislam. Mada zote anazochangia kuhusu Uislam huwa anapinga wazi wazi. Kwa akili zake anafikiri hatumjui au hatuna kumbukumbu zake.
Mtu anashindwa kufikiria tu kwamba kule mbinguni kinachoenda ni roho na siyo mwili yaani mwili ukishaoza kule kaburini ndo basi na siku zote chenye tamaa na shauku ya kutaka kufanya dhambi ni mwili na siyo roho sisi wakristo huwa tunamnukuu Yesu aliposema "roho i radhi lakini mwili u dhaifu sana"
Halafu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu haya mambo mliyowekewa duniani msitegemee mtaenda kuyakuta mbinguni yaani kitu ambacho Mungu alikiweka ni starehe kwa viumbe vyake hadi wanyama ndege na wadudu duniani ndo kikawepo na mbinguni? Subhanallah hivi nyie mbinguni mnapachukuliaje wandugu?
Halafu tendo la ndoa kwa Mungu ni uchafu hay
Tatizo ni kwamba mtu anajijua mwenyewe, lakini akumbuke kuwa michango yake kwenye post zilizopita ndio ushahidi dhidi ya jinsi alivyo, pia asiwe mtu wa kupretend au double face au kuwa mnafiki anaependa kujibadili sura wakati watu wanamjua kwa jinsi alivyo au kutaka kujiona yeye ni Chui wakati wakati watu wanamjua kuwa ni paka kasimama mbele ya kioo anajiona kuwa chui wakati nafsi yake ni paka. Narejea tena huyo sio Muislam.Ndo hivyo humu jf kuna watu wa kila aina kama wapo watu wanaojibadilisha jinsia watakosekana wanaojibadilisha dini kweli? Cha msingi ni kuenda naye sambamba kutokana na alichopost kwa wakati huo tu maana ukisema uwafuatilie watu vizuri humu utachanganyikiwa bure tu cha muhimu ni kuchangia tu mada wa kumuunga mkono wamuunge wa kumkosoa wamkosoe
Kule ni patakatifu siyo sehemu ya kwenda kufanya zinaa wala kufunga ndoa tena kule ni sehemu ya kumsifu na kumuabudu Mungu tu hata hao kina Solomon na David hayo ya kuoa wake wengi waliyaacha hapa hapa duniani huko walipo wanasujudu tu saa hizi na ndo maana hata Yesu alizaliwa kupitia njia ya kawaida ya mwanamke lakini hakuzaliwa kupitia tendo la ndoa sema daah watoto wa bi mdogo mna kazi
Ndio hapo sasaTatizo ni kwamba mtu anajijua mwenyewe, lakini akumbuke kuwa michango yake kwenye post zilizopita ndio ushahidi dhidi ya jinsi alivyo, pia asiwe mtu wa kupretend au double face au kuwa mnafiki anaependa kujibadili sura wakati watu wanamjua kwa jinsi alivyo au kutaka kujiona yeye ni Chui wakati wakati watu wanamjua kuwa ni paka kasimama mbele ya kioo anajiona kuwa chui wakati nafsi yake ni paka. Narejea tena huyo sio Muislam.
Ah hivi kumbe ndo nyie pia mnaojipa moyo kuwa wanaume wa kiislam watakaofanikiwa kuingia mbinguni watakuta wameandaliwa wanawake mabikira 72 kila mmoja? Aisee hii dini ina mambo ya ajabu sana yaani watu wanadanganywa kila kitu na wanaamini
[emoji115]Kwahiyo mwanzoni ulifikiri simfahamu?Haya sasa
Ndio hapo sasa
Bismillah Rahman Rahim
Asalaam Alleykum,warahma'tullah Wabarakatul.
Baada ya salaam hiyo ndugu zangu ninapenda kukukumbusheni hasa Wanaume , mashabaab wenzangu kuzingatia yale ambayo amekuwa akiyaeleza Sheikh wetu Sheikh Kipozeo katika kuelezea Neema za Allah alizowajaalia wanawake wa kibantu.
Aidha hapa Sheikh wetu alielezea hisia zake za kuwapenda wanawake wale wenye mizigo mikubwa mikubwa sheikh....naam!
Mizigo ile ya kibantu ile' Ashakum si matusi alikuwa akizungumzia Makalio makubwa yale Sheikh...au Matako mazitomazito.....Allah Akbar,..... Mmhhh!
• Baada ya hayo, bado kuna mapungufu aliyokuwa nayo Sheikh KIPOZEO kwakuwa hakueleza ni kwa jinsi gani Mwanamke ajiweke machoni pa Mume wake, kuanzia kutembea na hata sauti laaadhim sheikh.
Basi anatukumbusha hapa MAALIM DIMOSO kuwa wake zetu wajistir vipi na kuishi vipi ili tu tusiwatamani wasio wake zetu halal na kumkosea Allah wetu (S.A.W)
Ndugu Waislam kuzingatia haya ni muhimu sana kwa kulinda thawab
Video hapa nchini inaelezea kwa ufupi mawaidha ya Maalim DIMOSO.
Wabillah Tawfiq.
View attachment 1123459
Mungu alimruhusu shetani aje duniani kutujaribu haya naomba nijibu hili swali je shetani ni mzuri na tutamkuta tena mbinguni? Jibu lako litadetermine majibu ya maswali yako yote uliyouliza hapo juu nasubiri jibuWanandoa wanazini au wanachofanya ni halali ?
Mungu alimruhusu shetani aje duniani kutujaribu haya naomba nijibu hili swali je shetani ni mzuri na tutamkuta tena mbinguni? Jibu lako litadetermine majibu ya maswali yako yote uliyouliza hapo juu nasubiri jibu
Hapana ila nilidhani labda unanizingua tu ili niache kubishana naye na kuiponda dini yenu[emoji115]Kwahiyo mwanzoni ulifikiri simfahamu?
[emoji116]
Mungu alimruhusu shetani aje duniani kutujaribu haya naomba nijibu hili swali je shetani ni mzuri na tutamkuta tena mbinguni? Jibu lako litadetermine majibu ya maswali yako yote uliyouliza hapo juu nasubiri jibu
[emoji3][emoji3][emoji3] naomba uniazime simu yako nicheze gameMungu alimruhusu shetani aje duniani kutujaribu haya naomba nijibu hili swali je shetani ni mzuri na tutamkuta tena mbinguni? Jibu lako litadetermine majibu ya maswali yako yote uliyouliza hapo juu nasubiri jibu
Mkuu biblia inaelezea watu wawili tu ambao hawakufa walipaa mbinguni kama walivyo nao ni Nabii Henoko na Nabii Elia ukimtoa Yesu maana Yesu siyo mtu ila alikuja tu katika mwili wa mtu na alikufa halafu akafufuka na labda nikwambie tu kuwa binadamu anapokufa roho yake inatoka na hapo itaenda mbinguni au motoni kutokana na imani na matendo yake