Mkuu biblia inaelezea watu wawili tu ambao hawakufa walipaa mbinguni kama walivyo nao ni Nabii Henoko na Nabii Elia ukimtoa Yesu maana Yesu siyo mtu ila alikuja tu katika mwili wa mtu na alikufa halafu akafufuka na labda nikwambie tu kuwa binadamu anapokufa roho yake inatoka na hapo itaenda mbinguni au motoni kutokana na imani na matendo yakeWewe ni Mkristo ? Process ya mwili kutoka kwenye kaburi kwenda mbinguni mimi sijui wewe ndiye unayejua na ndio maana ukasema kinachoingia mbinguni ni roho sio mwili
Ndio nikataka kujua kwako Nabii Elijah aliyepaa na Farasi wa moto mbinguni aliingiaje kwa roho au mwili ?
Hahahaha mkuu nimesema tendo la ndoa ni uchafu kwa Mungu ila kwa wanadamu aliliweka kama starehe kwa sababu sisi ni binadamu tena alilibariki lifanywe na wanandoa tu na siyo hawa wahuni wa kutest mitambo ndo maana likaitwa tendo la ndoa na ndo maana hata Yesu alizaliwa kupitia njia ya kawaida ya mwanamke lakini hakuzaliwa kupitia tendo la ndoaKwa hyo mungu aliporuhusu tendo la ndoa duniani ina maana aliruhusu uchafu wa tendo la ndoa duniani?
Aiseee Mungu wako wa ajabu sana.
Aliruhusu uchafu hapa duniani?
Barikiwa sana hiki ndicho nilichokuwa nikikitafuta kwako nilikuwa na dhana kuwa huenda ulisikia pahala ukakalili tu na hujui hilo andiko linapatikana wapi.2 Kings:2:11
Hao si wanaokoteza wanayoyasikia halafu wanakariri mkuu yaani hawa watoto wa bi mdogo wana mambo ya ajabuBarikiwa sana hiki ndicho nilichokuwa nikikitafuta kwako nilikuwa na dhana kuwa huenda ulisikia pahala ukakalili tu na hujui hilo andiko linapatikana wapi.
Nakuwekea kuanzia wafalme 2:9-14 ujifunze neno la faraja na uweza wa Mungu naamini liakubariki mno
2 Wafalme:2.9
Hata ikawa, walipokwisha kuvuka, Eliya akamwambia Elisha, Omba kwangu lo lote utakalo nikutendee, kabla sijaondolewa kwako. Elisha akasema, Nakuomba, sehemu maradufu ya roho yako na iwe juu yangu.
2 Wafalme:2.10
Akasema, Umeomba neno gumu; lakini, ukiniona nitakapoondolewa kwako, utalipata; la hukuniona, hulipati.
2 Wafalme:2.11
Ikawa, walipokuwa wakiendelea mbele na kuongea, tazama! Kukatokea gari la moto, na farasi wa moto, likawatenga wale wawili; naye Eliya akapanda mbinguni kwa upepo wa kisulisuli.
2 Wafalme:2.12
Naye Elisha akaona, akalia, Baba yangu, baba yangu, gari la Israeli na wapanda farasi wake! Asimwone tena kabisa; akashika mavazi yake mwenyewe, akayararua vipande viwili.
2 Wafalme:2.13
Kisha akaliokota lile vazi la Eliya lililomwangukia, akarudi, akasimama katika ukingo wa Yordani.
2 Wafalme:2.14
Akalitwaa lile vazi la Eliya lililomwangukia, akayapiga maji, akasema, Yuko wapi Bwana, Mungu wa Eliya? Naye alipoyapiga maji, yakagawanyika huku na huku, Elisha akavuka.
Angekuwa mkristo asingeongea hizo pumbaUna uhakika unaemjibu ni muislam?
Na huyo wala sio MuislamAngekuwa mkristo asingeongea hizo pumba
Na huyo wala sio Muislam
Haya sasaThibitisha ewe kunguru mwitu...!
Dah aiseeThibitisha ewe kunguru mwitu...!
Mkuu naweza kupata andiko linalosema tendo la Ndoa ni uchafu kwa wanandoa?Hahahaha mkuu nimesema tendo la ndoa ni uchafu kwa Mungu ila kwa wanadamu aliliweka kama starehe kwa sababu sisi ni binadamu tena alilibariki lifanywe na wanandoa tu na siyo hawa wahuni wa kutest mitambo ndo maana likaitwa tendo la ndoa na ndo maana hata Yesu alizaliwa kupitia njia ya kawaida ya mwanamke lakini hakuzaliwa kupitia tendo la ndoa
Tena alizaliwa kupitia mwanamke bikira ambaye hajawahi kufanya tendo la ndoa ndo uone sasa alivyoonyesha msisitizo wa jinsi gani kwa Mungu tendo la ndoa ni taka taka halafu unauliza kwanini aliliruhusu? Sasa kama alimruhusu shetani kuja duniani kutujaribu tendo la ndoa ni kitu gani? Tendo la ndoa ni baya kuliko shetani?
Mada nyingi sana zinazohusu Uislam ziliwahi kujadiliwa humu jamiiforum na nilikuwa nakuona jinsi ulivyokuwa unaudharau na kutoa majibu ya kashfa (kukashifu) Uislam, leo hii mgalatia ujiite muislam. Mahusat?Thibitisha ewe kunguru mwitu...!
Dah aisee
Ni ngumu sana I seee kubadili mindset ya mtu wakati kaamimishwa hivyo tangu utotoni kupitia kitabu chake. Hakuna kitu hatari kama Imani ya mtu.Sawa lakini siyo kwa kuwaza kuwa eti mtawakuta hadi mbinguni na kila mwanaume atapewa wanawake mabikra 72 aisee wanaume wa kiislam mnawaza kungonoka tu haani duniani mngonoke msimkumbuke Mungu na mbinguni napo mkangonoke msimkumbuke Mungu? Hebu acheni kuichafua mbingu bwana hakuna tendo la ndoa kule ni kusujudu tu
Asiyeamini basi huyo anataka kwenda sehemu nyingine tofauti na mbinguni ambapo ni motoni tatizo mimi nikisema nitaambiwa kila kitu napenda kushindana na wanaume hahahaha basi poa endeleeni kuwasubiria hao wanawake maana kuambiwa ukweli hamtaki mnasema tunashindana na nyie jitahidini mwaya mfanye matendo mema muende mbinguni mkakutane na hao wanawake
Anaitwa nabii nani?Kuna mambo huwa yananichanganya nakosa majibu hivi yule nabii aliyepaa na farasi yeye Mbinguni ameingia kwa mfumo wa mwili au roho ?
Na wale Farasi wako wapi ? Au walirudi duniani baada ya kumfikisha jamaa ?
Unaweza kutusaidia kifungu bossElijah
Daah mkuu wewe ni mgumu kuelewa aisee sijui hata kama umesoma hiyo post au umekimbilia kuiquote tu yaani ukianza kusoma hapo mwanzo tu unaona nimeshakufafanulia kuwa tendo la ndoa ni uchafu kwa Mungu ila kwa wanadamu ndo starehe yetuMkuu naweza kupata andiko linalosema tendo la Ndoa ni uchafu kwa wanandoa?
Mana naona kama unamsingizia Mungu vile.Mungu hawezi kuruhusu uchafu na kuuridhia na kuuhalalisha kabisa.
Hivi Mungu anaweza kuhalalisha uchafu ?