Wallah nitakuroga, Chezea hao hao siyo mimi

Wallah nitakuroga, Chezea hao hao siyo mimi

Hii kauli imenishangaza. Huyu demu ananitishia maisha hivi hivi? Sijalala usiku wote namwazia .... Hivi anajielewa huyu?

Nlimuuliza amewahi date wanaume wangapi akadai wa 4 jumla na mimi. Sasa hao wengine mbona hakuwaroga na walimwacha? Au kama aliwaroga ilimsaidia nini?

Nimewaza sijui nimuwahi yeye kwanza? Nimroge ili sasa ashindwe niroga maana yupo serious sana. Huwa anasimulia habari za kwao huko na uchawi. Sasa anataka ku practise kwangu. Yaani analazimisha mimi nikae naye milele?

Huu ni upuuzi. Na huyu nikiendelea kukaa naye pia ataniroga. Ndo maana nlikuwa nasita kula kwake toka day one. Ananilazimisha nile chakula chake namkatalia. Na kuchabangana natumia condom so kama anaweka dawa kule ndani hainipati. Ananishauri kila mara tukapime nimchabange dry namgomea. Itakuwa mtego tu huu.
Mle jicho akiroga uchawi unamrudia mwenyewe
 
I wish yah all the best Madame, vipi ni wa kike au kiume??.
[emoji117]Afu mbona hukusema??, Ili tukupongeze[emoji848] trudie
Thank you alot, wa kike mkuu nipo kwenye mchakato wa kufuga Rottweiler ili wasikutane na watu kama mtoa mada hapo juu baadae[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nimempata muda sio mrefu mkuu nipongezeni tuu[emoji3526][emoji3526]
 
😆😆 I mean no malice to nobody
 
Back
Top Bottom