Wallah nitakuroga, Chezea hao hao siyo mimi

Hahahha.. Kasheshe.. Kwanini hutaki kuwa nae milele? Na kama ulikuwa huna mpango wa kuwa nae milele ulimtongoza wa nn? Wapo wengi ambao hawachabangwi na kudampiwa. Ni bora afe kuliko umuache. Kila mtu ana moyo wake.
Sasa mbona tayari kuna watu walishapita naye na hajawa nao? Aache upuuzi.
 
Acha arogwe tuu ili apunguze uzinzi mkuu. Halafu mimi sio mkewe. Huyu kila week ana nyuzi mpya ya demu mpya kwanini asirogwe na kuwa chizi.
We ndo ulikuja mdai mumeo mtoto huku JF? Ndo wale wale....
 
Hii kauli imenishangaza. Huyu demu ananitishia maisha hivi hivi? Sijalala usiku wote namwazia .... Hivi anajielewa huyu?

Nlimuuliza amewah date wanaume wangapi akadai wa 4 jumla na mimi. Sasa hao wengine mbona hakuwaroga na walimwacha? Au kama aliwaroga ilimsaidia nini?

Nimewaza sijui nimuwahi yeye kwanza? Nimroge ili sasa ashindwe niroga maana yupo serious sana. Huwa anasimulia habari za kwao huko na uchawi. Sasa anataka ku practise kwangu. Yaani analazimisha mimi nikae naye milele?

Huu ni upuuzi. Na huyu nikiendelea kukaa naye pia ataniroga. Ndo maana nlikuwa nasita kula kwake toka day one. Ananilazimisha nile chakula chake namkatalia. Na kuchabangana natumia condom so kama anaweka dawa kule ndani hainipati. Ananishauri kila mara tukapime nimchabange dry namgomea. Itakuwa mtego tu huu.
Usilete mchezo utakua zezeta.
 
Aaaargh.... Yeye sasa atafanywa ndondocha kabisa ndo aone akijua ya huku wenzie tunajua ya kule.
Aah wee mwenyewe ni chizi unadhani utamfanya nin.
Kwanza muandiko wako wenyewe unaonyesha doseee ishaanza kukuingia
 
😂😂😂😂😂
Kuwa makini mkuu.
Nimeanza. Siachi kitu kwake. Hata sperms kwenye condom naondoka nazo. Yaani kifupi hapati kitu. Nimeacha hata kumla denda.... Asije akabaki na mate yangu.... Yaani mpaka mwenyewe ataomba poooh. Akitaka kupigwa na mjegejo namwambia tu inama.... Analalamika ooooh.... Hamna hata kuniandaa namwambia maandalizi yapo akilini. Kama anajiona mkavu tuache mpaka next time...... Yaani akiweka Ugoko mi naweka jiwe.....
 
Pole sana ndio ushajichanganya tayr,Kwa ushauri ama mkoa ,potea asijue uko wap ,Tena Kwa Siri

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeanza. Siachi kitu kwake. Hata sperms kwenye condom naondoka nazo. Yaani kifupi hapati kitu. Nimeacha hata kumla denda.... Asije akabaki na mate yangu.... Yaani mpaka mwenyewe ataomba poooh. Akitaka kupigwa na mjegejo namwambia tu inama.... Analalamika ooooh.... Hamna hata kuniandaa namwambia maandalizi yapo akilini. Kama anajiona mkavu tuache mpaka next time...... Yaani akiweka Ugoko mi naweka jiwe.....
 
Relax mkuu, dua la kuku hilo.

Ukiona msg au akipiga fanya kukausha kabisa kama haupo vile, atapotea mwenyewe.
 
Nimeanza. Siachi kitu kwake. Hata sperms kwenye condom naondoka nazo. Yaani kifupi hapati kitu. Nimeacha hata kumla denda.... Asije akabaki na mate yangu.... Yaani mpaka mwenyewe ataomba poooh. Akitaka kupigwa na mjegejo namwambia tu inama.... Analalamika ooooh.... Hamna hata kuniandaa namwambia maandalizi yapo akilini. Kama anajiona mkavu tuache mpaka next time...... Yaani akiweka Ugoko mi naweka jiwe.....
Si muachane mzee, au tayari ndani ya kumi na nane zake umekaa?
 
Back
Top Bottom