Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,843
Wanawake huambizana kabisa kuroga wanaume wao wa ndoa Na wale wa michepuko,
Wanawaambiana kama Mwanaume anakupa hela mroge mshike asije akakuacha [emoji108]
Wengine wanaambiwa hivyo na wazazi wao mama zao , imagine [emoji848][emoji848]
Mtu ataacha kufanya alichoambiwa na mama mzazi ?