Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,666
- 29,946
- Thread starter
- #21
Ooooh.... Ni mwarabu? Mtume alikuwa mwarabu ana wajukuu wake huku?Ata mimi mmoja kanambia hivyo Jana Eti yeye kijukuu wa mtume atanifanya kazi

Cheusi tii eti nisimlete michezo ya kukataa mimbaOoooh.... Ni mwarabu? Mtume alikuwa mwarabu ana wajukuu wake huku?
Hii kauli imenishangaza. Huyu demu ananitishia maisha hivi hivi? Sijalala usiku wote namwazia .... Hivi anajielewa huyu?
Nlimuuliza amewah date wanaume wangapi akadai wa 4 jumla na mimi. Sasa hao wengine mbona hakuwaroga na walimwacha? Au kama aliwaroga ilimsaidia nini?
Nimewaza sijui nimuwahi yeye kwanza? Nimroge ili sasa ashindwe niroga maana yupo serious sana. Huwa anasimulia habari za kwao huko na uchawi. Sasa anataka ku practise kwangu. Yaani analazimisha mimi nikae naye milele?
Huu ni upuuzi. Na huyu nikiendelea kukaa naye pia ataniroga. Ndo maana nlikuwa nasita kula kwake toka day one. Ananilazimisha nile chakula chake namkatalia. Na kuchabangana natumia condom so kama anaweka dawa kule ndani hainipati. Ananishauri kila mara tukapime nimchabange dry namgomea. Itakuwa mtego tu huu.
Tayari huyo,Mmmmmh .... Kuwa serious. Unadhani tayari?
Huyu atakuwa ni demu wa Kichagga tu au Mpare maana hawa ndiyo wana hizi tabia na mara nyingi wanafanya hivi baada ya kuona miaka imekwenda, wanalazimisha kuwa na mtu na kuwachimba mikwara ya uchawi.Hii kauli imenishangaza. Huyu demu ananitishia maisha hivi hivi? Sijalala usiku wote namwazia .... Hivi anajielewa huyu?
Nlimuuliza amewah date wanaume wangapi akadai wa 4 jumla na mimi. Sasa hao wengine mbona hakuwaroga na walimwacha? Au kama aliwaroga ilimsaidia nini?
Nimewaza sijui nimuwahi yeye kwanza? Nimroge ili sasa ashindwe niroga maana yupo serious sana. Huwa anasimulia habari za kwao huko na uchawi. Sasa anataka ku practise kwangu. Yaani analazimisha mimi nikae naye milele?
Huu ni upuuzi. Na huyu nikiendelea kukaa naye pia ataniroga. Ndo maana nlikuwa nasita kula kwake toka day one. Ananilazimisha nile chakula chake namkatalia. Na kuchabangana natumia condom so kama anaweka dawa kule ndani hainipati. Ananishauri kila mara tukapime nimchabange dry namgomea. Itakuwa mtego tu huu.
Kama anajua haya kuhusu wewe akiamua kukufanyizia ni very simple.Hii kauli imenishangaza. Huyu demu ananitishia maisha hivi hivi? Sijalala usiku wote namwazia .... Hivi anajielewa huyu?
Nlimuuliza amewah date wanaume wangapi akadai wa 4 jumla na mimi. Sasa hao wengine mbona hakuwaroga na walimwacha? Au kama aliwaroga ilimsaidia nini?
Nimewaza sijui nimuwahi yeye kwanza? Nimroge ili sasa ashindwe niroga maana yupo serious sana. Huwa anasimulia habari za kwao huko na uchawi. Sasa anataka ku practise kwangu. Yaani analazimisha mimi nikae naye milele?
Huu ni upuuzi. Na huyu nikiendelea kukaa naye pia ataniroga. Ndo maana nlikuwa nasita kula kwake toka day one. Ananilazimisha nile chakula chake namkatalia. Na kuchabangana natumia condom so kama anaweka dawa kule ndani hainipati. Ananishauri kila mara tukapime nimchabange dry namgomea. Itakuwa mtego tu huu.
Ata mimi mmoja kanambia hivyo Jana Eti yeye kijukuu wa mtume atanifanya kazi

Subiri yakukuteAta mimi mmoja kanambia hivyo Jana Eti yeye kijukuu wa mtume atanifanya kazi