Mbeya sehemu gani?nasikia mbeya pia wapo
Hii hapaPicha ya waumini tafadhali
SHOCK! The church where people worship naked - World News Online - WixNews.com click linkPicha ya waumini tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo zigo la kwanza limejaza dah! U-pastor raha sana aisee. Me ningelipiga kimoja cha fasta kwanza
Halafu aliyewaamuru kuvua yeye kavaa, tena suti kabisa! Kumbe hata majuu kuna mazombie!
Hahahahaaaaa