Umejisikiaje kumkosa uliyetumwa kumpoteza?Kakojoe ukalale, acha kuposti na kujijibu mwenyewe, usiku saa hizi....
Sasa wamezima taa utalionaje?Picha ya hilo kapu la sadaka iko wapi?
Sasa wamezima taa utalionaje?
Walishindwa kujua watu wale ni kuwa, hekaluni hata ukizima taa, Nuru haipotei.Oh basi ondoa shaka, hata wezi watalionaje? Wasiwasi wako tu mkuu.
Anyway, weka picha ya hilo giza basi
Dah m10 ndo ulizonazo kwa ujumla wake? Hata hivyo hao wavaa baibui wanakaba mtaani mkuu siyo nyumbani kwako, au unatembeaga na hizo milion kumi mfukoniWalishindwa kujua watu wale ni kuwa, hekaluni hata ukizima taa, Nuru haipotei.
Nina mpango wa kupeleka milioni kumi kituoni wanitunzie maana vibaka wavaa baibui wamezidi mtaani.
Inategemea mkuu, labda kama hilo hekalu lilishajipanga kukabiliana na hilo giza yaani kuwepo na mishumaa, ila kama hakuna mishumaa ndo basi tenaWalishindwa kujua watu wale ni kuwa, hekaluni hata ukizima taa, Nuru haipotei.
Nina mpango wa kupeleka milioni kumi kituoni wanitunzie maana vibaka wavaa baibui wamezidi mtaani.
Zimeni na hiyo Nuru wezi wasilione kapu la sadaka😂Walishindwa kujua watu wale ni kuwa, hekaluni hata ukizima taa, Nuru haipotei
Walipitaje wakati kanisa limezingirwa na polisi!Hello!
Nini hasa walikuwa wamelenga watu Hawa?
Baada ya kuona waumini wanaomba bila kufumba macho, wakaamua kuzima taa!
Sasa kuzima taa walilenga Nini ilhali sadaka zikiwa kapuni?
Haya!
Yaani umesikia milioni kumi unaiulizia mara mbili mbili.Dah m10 ndo ulizonazo kwa ujumla wake? Hata hivyo hao wavaa baibui wanakaba mtaani mkuu siyo nyumbani kwako, au unatembeaga na hizo milion kumi mfukoni
Ni huku daslaam!Ni wapi huko mkuu?