Habari wapenzi?
Nmekuwa nikiona mitandaoni watu wakiitangaza serum ya wix kuwa ni nzuri kwa kutoa mikunjo usoni, je kwa mliowahi kuitumia ni kweli inatoa mikunjo usoni ?
Nataka kwanza nipate ushuhuda kwa waliotumia kabla sijanunua maana haya Mambo ya biashara unaweza ukanunua alafu kumbe wanaisifia tu uongo ili wapate wateja