Waliowahi kutumia Epson L210 msaada

Waliowahi kutumia Epson L210 msaada

Unataka kuprint label za namna gani? Au label kwa matumizi gani na unataka zitoke kwenye karatasi za aina gani?
Nataka kuprint label za kawaida za kubandika kwenye bidhaa za wajasiriamali kama sabuni, mafuta n. K

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nataka kuprint label za kawaida za kubandika kwenye bidhaa za wajasiriamali kama sabuni, mafuta n. K

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Sawasawa. L210 inafaa kabisa . Utakuwa unaprint kwenye sticker paper za Inkjet za size ya A4 halafu unakata kwa kutumia paper cutter.
 
Back
Top Bottom