inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,575
Hilo siyo jini,Kuna ugonjwa niliosoma,dalili zake ni hizo kasoro ndotoKichwa kinauma saana upande mmoja bila kukoma na nilienda hospital kufanya medical examination lakini Daktari hakuna kitu.
Nna hasira sometimes bila hata sababu.
Mapigo ya moyo yanaenda mbio Kama yanaendeshwa na Dereva wa Dar Lux vile.
Usiku sipati usingizi Hadi alfajiri na nikiota naota mazonge matupu. Kuna siku nikiota ndoto ya kichekesho saana yaani nakimbizwa na Simba nikakimbia then ghafla nikasikia Kuna kitu kinanigusa kisogoni nikajua Simba kanikaribia si nikachukua mikono yangu na kumkamata Simba nimvute nimtupe mbele.
Kumbe ni miguu yangu ndio ilikuwa inagusa kisogo Sasa nikajikita nimeivuta miguu yangu mwenyewe. Nikaamka nikaishia kucheka tu!
Kifua kinabana Kama Kuna mtu ananibana hivi. It's hell!
Yani mahovyo hovyo tu!
we huna mapepo ni stress tu ya maisha.Kichwa kinauma saana upande mmoja bila kukoma na nilienda hospital kufanya medical examination lakini Daktari hakuna kitu.
Nna hasira sometimes bila hata sababu.
Mapigo ya moyo yanaenda mbio Kama yanaendeshwa na Dereva wa Dar Lux vile.
Usiku sipati usingizi Hadi alfajiri na nikiota naota mazonge matupu. Kuna siku nikiota ndoto ya kichekesho saana yaani nakimbizwa na Simba nikakimbia then ghafla nikasikia Kuna kitu kinanigusa kisogoni nikajua Simba kanikaribia si nikachukua mikono yangu na kumkamata Simba nimvute nimtupe mbele.
Kumbe ni miguu yangu ndio ilikuwa inagusa kisogo Sasa nikajikita nimeivuta miguu yangu mwenyewe. Nikaamka nikaishia kucheka tu!
Kifua kinabana Kama Kuna mtu ananibana hivi. It's hell!
Yani mahovyo hovyo tu!
tatizo we ndo unaleta mzaha kwenye vitu serious.Una ushaidi? Acheni ulokole kwenye mambo ya seriously.
Pata dosage ya kitimoto, kutwa mara tatu, uone kama hayo mambo yataendelea.Kichwa kinauma saana upande mmoja bila kukoma na nilienda hospital kufanya medical examination lakini Daktari hakuna kitu.
Nna hasira sometimes bila hata sababu.
Mapigo ya moyo yanaenda mbio Kama yanaendeshwa na Dereva wa Dar Lux vile.
Usiku sipati usingizi Hadi alfajiri na nikiota naota mazonge matupu. Kuna siku nikiota ndoto ya kichekesho saana yaani nakimbizwa na Simba nikakimbia then ghafla nikasikia Kuna kitu kinanigusa kisogoni nikajua Simba kanikaribia si nikachukua mikono yangu na kumkamata Simba nimvute nimtupe mbele.
Kumbe ni miguu yangu ndio ilikuwa inagusa kisogo Sasa nikajikita nimeivuta miguu yangu mwenyewe. Nikaamka nikaishia kucheka tu!
Kifua kinabana Kama Kuna mtu ananibana hivi. It's hell!
Yani mahovyo hovyo tu!
Anatoa mfano wa aina ya wachungaji tulionao sasaMbona kama husaidiki
Katika maisha yangu sijawahi kuona mtu amepona na kutolewa majini akiwa fresha and comfortable na kupona kabisa na majini yasirudi tena.
Nimeona tu Kuna Namna nyingi za kutoa majini na Mashetwani.. mosi ni kwa maombi ya wachungaji au manabii wa makanisa nimeona kwenye TV wakiwashika watu na watu wakipagawa na mapepo kuikubali yanaondoka.
Pili ni kwa Tiba za kiasili lakini yote kwa yote sijawahi kukutana na mtu aliepona kabisa matatizo haya ya Mashetwani. Sasa basi Kama Kuna mtu alishawahi kupitia hili naomba uzoefu wake.
Maana nahisi Kuna kila dalili kwenye huu mwili wangu Kuna mpangaji mpya na halipi Kodi ananiburuza vibaya nahitaji nijue Kama naweza kumuonyesha mlango wa kutokea? Na Kama mna mapendekezo ya watabibu wa haya mambo nipeni link na connection zao.
Asanteni!
Yeah hizo ni miongoni mwa dalili kuwa una shaytwaan ndani ya mwili wako na anahitaji kutolewa kwa visomo vya Ruqya (Quran na Dua alizofundisha Mtume Muhammad ) na dawa za kisunnah.Kichwa kinauma saana upande mmoja bila kukoma na nilienda hospital kufanya medical examination lakini Daktari hakuna kitu.
Nna hasira sometimes bila hata sababu.
Mapigo ya moyo yanaenda mbio Kama yanaendeshwa na Dereva wa Dar Lux vile.
Usiku sipati usingizi Hadi alfajiri na nikiota naota mazonge matupu. Kuna siku nikiota ndoto ya kichekesho saana yaani nakimbizwa na Simba nikakimbia then ghafla nikasikia Kuna kitu kinanigusa kisogoni nikajua Simba kanikaribia si nikachukua mikono yangu na kumkamata Simba nimvute nimtupe mbele.
Kumbe ni miguu yangu ndio ilikuwa inagusa kisogo Sasa nikajikita nimeivuta miguu yangu mwenyewe. Nikaamka nikaishia kucheka tu!
Kifua kinabana Kama Kuna mtu ananibana hivi. It's hell!
Yani mahovyo hovyo tu!
Sasa tajiri utamjuaje kama ana hayo makitu? Nani atakuambia? Mtakutana wapi.akueleze kuwa ananyo?Hv majini yanawaogopea nn matajiri na kuwaonea masikini tu. Sijawahi sikia hizo swaga za majini kwa matajiri Wala nn
mama mchungaji kwa pembeni ukipata huduma ya maombezi mororoo[emoji39]Niende kwa mchungaji Masanja Mkandamizaji.
I agree. It must be hell. Anyone with anger is possessed too.Kichwa kinauma saana upande mmoja bila kukoma na nilienda hospital kufanya medical examination lakini Daktari hakuna kitu.