Waliowahi kufukuzwa CHADEMA

Zitto hataondoka cdm kwamujibu wa viongozi wa chama kakili kosa amekubal na amesamehewa na atagombea tena ubunge kwa tket ya chadema.
 
* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.

HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA

MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Safi sana mkuu
Umemsahau ADAMU CHAGULANI DIWANI WA IGOMA(NYAMAGANA)MWANZA
 
Mtela Mwampamba hakuwahi kuwa kiongozi BAVICHA ni kweli kwamba alitimuliwa kama paka aliyekunywa maziwa ya mtoto , alikuwa mshika jezi tu .
 
Mkuu huyu mwanasheria ni Amani Mwipaja au Amani Mwaipaja? Kwa sababu Amani Mwaipaja najua mpaka sasa anafanyia NGO Moja hivi Morogoro
 
wale waliokula mamilioni ya sabodo vipi?wale waliojikopesha mamilioni ya chama vipi?wale waliobadili katiba ya chama mradi waendelee kubakia madarakani vipi?tunaoifahamu chadema tuna uhakika kabisa kuwa ni chama cha mbowe na slaa hayo mengine mbwembwe tu.
 
wale waliokula mamilioni ya sabodo vipi?wale waliojikopesha mamilioni ya chama vipi?wale waliobadili katiba ya chama mradi waendelee kubakia madarakani vipi?tunaoifahamu chadema tuna uhakika kabisa kuwa ni chama cha mbowe na slaa hayo mengine mbwembwe tu.[/QUOTE)

Wewe tuwekee ushahidi wa hizo tarumbeta zako sio kubwabwaja tu.Na kama unaamini hayo niheli ueendelee kubaki huko kwenye chama cha maescrow wanaopongezwa baada yakufanya madudu.Huku Cdm ukifanya yanayofanywa Ccm tunakutimua tu!
 
* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.

HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA

MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Sababu za kufukzwa
 
CHADEMA Hapo Kwenye Majina Hakuna Mchaga Ata 1 Kweli Huo Ni Udini wa Wazi Wazi afu Tena Hao Walifukuzwa Kwa Sababu Walikua Wanataka Kuhoji Kuhusu Hela za Ruzuku Mimi Nko NCCR Kuungana na CDM sijapenda hata kidogo kwa Sababu ya Uwizi Unao Fanywa na Mbowe
 
* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chacha wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.
.
Kwa yoyote mwenye kumbukumbu, katika hizi fukuza fukuza zote za Chadema, jee kuna popote sheria, taratibu na kanuni zilifuatwa?!.

Kwa msiojua taratibu za nidhamu ndani ya Chadema ni hizi zifuatazo, jee zimewahi kifuatwa?!.

  1. Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo riorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?.
  2. Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?.
  3. Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia, jee hili lilifanyika?, nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, jee huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?.
  4. Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, jee hili lilifanyika?.
  5. Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kumpa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee kwenye huo uamuzi uliotangazwa jana na Bavicha, Jee sheria, taratibu na kanuni zilifuatwa?!.
Nauliza tuu!.
Pasco
 
Ile ni CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO,C.E.O NI MTEI.Misukule Wengine ni kuongezea RUZUKU+MICHANGO WACHAGGA WAPIGE" ELA"
 
Back
Top Bottom