Waliowahi kudisco chuo

Waliowahi kudisco chuo

kokosai

Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
49
Reaction score
19
Jamani naomba kufahamu kwa wajuzi, waliowahi kudisco chuo halafu wakaja kuomba chuo kingine baada ya miaka mi3 kupita then wakalipa 25% wanayodaiwa, halafu wakaomba tena mkopo je huwa wanapata? kwa mwny experience tafadhari?
 
Kudissco chuo sio kudisco maisha
 
Hakuna cha miaka mitatu wala Nini, ukidisco mwaka huu , mwaka huo huo unaomba chuo kwingine au hapo hapo , unalipa bodi 25% ya mkopo mzima , na kama umeomba tena una vigezo unapewa tena
 
We umedisco?

Back
Top Bottom