Kwanini wakuseme,una tabia mbaya au wanakuonea wivu?Habar ndugu zangu naomba msaada wa mawazo
Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist
Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu hawanipendi wananisema vibaya chini Kwa chini maneno mengine wanamwambia boss.
Jambo lingine ni kua nikifanya kosa linakuzwa linakua kubwa unnecessary yaani Sina hata miezi sita lakini kazi imekua chungu kwangu
Uamuzi ninaotaka kuchukua ni kuresign
Msaada ndugu zangu
Mimi ni keJibu haya maswali kabla sijakushauri:
- Una mke na watoto?
- Mke ana kipato?
- Hiyo kazi ni ya Mtanzania/mhindi?
- Ulikuwa unafanya kazi gani kabla?
- Unarizika na Mshahara?
- Una manage ku perform vizuri?
Mimi ni keKwanini wakuseme,una tabia mbaya au wanakuonea wivu?
Unataka kuacha kazi kwakuwa watu wanakusema,nina wasiwasi na Emotional intelligence yako??
Kwa ufupi ni kwamba Mwanaume hakimbii matatizo anapambana nayo.
Kuwa Ke sio sababu.Mimi ni ke
Mimi ni ke
Kazi ya muhindi
Kabla nilikua nafanya kazi tours
Mimi nahisi ana tabia ambazo sio nzuri na hapendi kubadilika,mtu hawezi kuacha kazi kisa kusemwa vibaya,never!Kama una Tabia mbaya acha hiyo Tabia mbaya USIACHE kazi,
Maswala ya kusemwa yapo Sana , na yapo kokote
We endelea hapo hapo kati ya wafanyakazi huwez kukuta wote wanakusema Kuna m1 kati ya 30 atakua na roho nzuri huyo ongea vzr ,
Atakupa mazuri yako na mabaya yako
Kama kuna maslai, ni vigumu kupendwa na kila mtuHata ukipata kwingine hali ya kuchukiwa itaendelea kuwepo muhimu safisha roho yako ikiwa safi utapendwa na kila mtu