Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,499
- 51,092
Agizo lilitoka katika kikao cha baraza la mawazili kwamaanaiyo serikali ilipitisha. Serikali ilizishindwa izo nyumba kwakua ilitakiwa iwe inaweka bajeti ya kuzihudumia marakwamara na ikaonekana ni mzigo mkubwa ukichukulia Nyumba nyingi zimejengwa na wakoloni miaka ya hamsini.Maamuzi yalikua wanaoishi kwenye nyumba izo wapewe kipaumbele na walipe kidogokidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe alipaswa ajiuzulu kupinga uamuzi wa baraza zima la mawaziri.
Kitendo cha kuongoza zoezi lenye hasara kwa nchi kwa mikono miwili haiimpi excuse.