Waliousaliti upinzani 2015 waungane waanzishe chama chao badala ya kuvuruga vyama vingine.

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Mwaka 2015 ulikuwa mwaka wa uchaguzi nchini Tanzania.Tumeshuhudia wanasiasa mbalimbali wa vyama vya upinzani wakitoa matamshi ya kuviponda vyama vya upinzani Na hatimae kuhama , kujiuzulu Na kudai kuacha siasa.Kwa kuwa viongozi hao wameonekana kuusaliti upinzani tunavishauri vyama vya siasa vya upinzani visiwakubalie kurudi ktk vyama vyao kwani in Wasaliti wa upinzani toka moyoni.Baadhi yao ni kama Prof.Lipumba, Dr.Slaa,Mrema Dovuto n.k.Ushauri Kwa hao wasaliti in "Waanzishe Chama chao cha Wasaliti wa Upinzani"
 
Back
Top Bottom