Waliounda CCM ni magenius aisee!

Waliounda CCM ni magenius aisee!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Kwanza CCM siyo mtu hivyo huwezi kumlaumu kwa chochote, na hata kama ukianzisha Vita dhidi ya CCM hata hujui adui yako ni nani kwani haina mwenyewe!

CCM huwezi kuuita Dikteta, kwani siyo mtu, huwezi kusema umeichoka kwani miaka 5-10 wanabadili timu nzima, Kenya walimchukis Moi, Uganda Museveni, Zim Mugabe, Kongo Kabila Libya Gadafi, Angola Dos Santos, sasa TZ utamchukia nani? CCM siyo mtu!

Hawa waliounda CCM ni magenius aisee duh!
 
Ni Kama waliounda Luddism movement kule Uk enzi za kuanza ubebari Miaka ya 1600s!
 
Kila mtu anaipenda Ccm ila vyuma vinasababisha kuwa mbali nayo.
 
Kwanza CCM siyo mtu hivyo huwezi kumlaumu kwa chochote, na hata kama ukianzisha Vita dhidi ya CCM hata hujui adui yako ni nani kwani haina mwenyewe!

CCM huwezi kuuita Dikteta, kwani siyo mtu, huwezi kusema umeichoka kwani miaka 5-10 wanabadili timu nzima, utamchukia Magufuli lkn baada ya miaka 7 ijayo hayupo tena anakuja mwingine!
Waliounda CCM ni magenius aisee duh!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji4][emoji16][emoji16][emoji16][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
CCM itachokwa, itakataliwa lakini wenye uamuzi wa mwisho ni CCM wenyewe.
 
Ni Kama waliounda Luddism movement kule Uk enzi za kuanza ubebari Miaka ya 1600s!
waliishia wapi na huo mpango wao mbona technology imefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana pamoja na huo mpango wao wa kupinga maendeleo ya tecknolojia kuwa yatahatarisha usalama wa binadam na mazingira yake?
 
CCM inabadilika kulingana na muda unavyoenda ili kulinda hatima yao, kwa mfano J.K NYERERE alicheza kama PELE kwa kuruhusu vyama vingi ili kuridhisha mtima wa wananchi waliotaka demokrasia/mfumo wa vyama vingi,

hatua hii iliipaisha sana CCM hadi leo hii ukiwaambia wananchi wapiga kura kuwa CCM haina demokrasia wala hawatakuelewa,

laiti kama wangeendelea na mfumo wa chama kimoja bhasi CCM ingeanguka mapema sana.
 
Back
Top Bottom