Waliotakiwa kumrithi Mukandala hawa hapa

Waliotakiwa kumrithi Mukandala hawa hapa

Mimi sio mchagga,
ila secta hii ni kuweka ukabila pembeni, na kuangalia maslai ya chuo.
apa Prof. Mushi anafiti,
au yule Prof Kimambo wa CoeT...ila experience atajifunzia uko uko...( magu anavyopenda suprise, hakawii kumpa huyu kikombe ) ..
 
Hahaaa nadhani kuna umuhimu wa kutambua namna upatikanaji wa viongozi wa vyuo vikuu hasa UDSM ulivyo kabla ya kuleta mambo ya ukabila humu
Ni kweli haswaa.

Likini nimeona kama vile "UDSM" wenyewe wamesababisha mjadala ambao pengine wangeweza kuuepuka. Sikuona sababu hasa ya wao kuuzungumzia mchakato ulivyofanyika na kisha Mkuu wa Chuo na Rais kufanya maamuzi tofauti bila hata kutoa sababu ya kufanya uamuzi huo tofauti. Kwa mfano Rais angetoa tu taarifa ya kumuongezea Prof Mukandala mwaka mmoja bila kwenda ndani kuhusu huo mchakato ulioishia njiani.
 
Back
Top Bottom