Waliotabiri kuwa Chadema kufa kabla ya 2015

Waliotabiri kuwa Chadema kufa kabla ya 2015

Ngolombwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
267
Reaction score
76
Ndugu zangu wa jf, pole sana kwa majukumu mengi ya kujenga Taifa letu, bila kupoteza muda napenda kupata maoni yenu juu ya hoja ambazo miezi michache tu iliyopita zilikuwa zikisikika sana na hasa wale waliikuwa waongeaji sana juu ya kauli hizo walikuwa vigogo wa chama tawala, kati ya watu niliowasikia kwa masikio yangu mwenyewe ni pamoja na Mh Stephen Wassira, Mh Mwigulu Lameck Nchema na Mh Willium Lukuvi.
Nilikuwa najiuliza maswali mengi sana juu ya kauli hizi, na hasa nilitaka kujua chadema inaweza kufa ni sawa lakini
1. Itakufa kwa namna gani
2. Kwanini wanaotabiri kifo hicho wote watoke chama tawala?
3. Ikifa kwa kifo hicho wanachotuambia ni nini faida yake kwa Taifa letu?.
Hayo ni baadhi ya maswali niliyojiuliza.
Sasa ningependa kujua kwa yeyote mwenye ufahamu anijuvye tafadhali, hivi haya yanayotokea ya Mh Zitto ndiyo matokeo ya unabii wa akina Nchemba au tusubiri mengine?
Tafadhali kama unajua lolote unijulishe.
 
Mkuu ninafikiri inawezekana ni kati ya hiyo mikakati. Lkn bado na wenyewe wana wasiwasi kwani mambo yanavyokwenda sivyo walivyotaka. Na inaonekana nia yao ilikuwa hasa itokeee kama BOMU la ghafla na kuimaliza CDM. Hivi inaonekana bado ni bomu lkn bado majeruhi yake hayatakuwa makubwa kama lile la ghafla! Tusubiri kidogo ingawa hata hao waliotabiri wana wasiwasi kuwa hii inaweza kula hata KWAO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kinakufa kwa laana za damu za watu, unaua kisha unaandamana na maiti barabarani ili kupata umaarufu, e.g kumbuka ya arusha, tulivyoandamana na maiti mpaka usa
 
Hata mimi nishawaza kama wewe ulivyowaza, believe or not ZZK was working antagostically. Behind him there was a great intelligent mission
 
Kufa kwa chama ni pale inapopoteza viongozi wake muhimu ambao nao huondoka na wafuasi wao
 
1. Ule mpango wa kuipasua
CHADEMA (unaohusisha viongozi
wa dini walio karibu na CHADEMA
au Slaa na kuratibiwa na idara kwa
usiri wa hali ya juu) usitishwe kwa
muda ili kuona kama mipango
mingine itafaulu.
2. JK ajiuzulu urais mnamo mwaka
2013 hivi ili chini ya Bilal na kwa
muda mfupi mabadiliko makubwa
yafanyike na CHADEMA waweze
kujumuishwa katika serikali hasa Dr
Slaa ili kujipanga kukimaliza
CHADEMA kwa urais zaidi. Ingawa
JK alihofia hii technique kwa maana
ya Bilal but hii naona ina mkono wa
“wafanyabiashara” wakubwa wa
mataifa Fulani ambao wanataka
biashara zao ziende vizuri kama JK
ataondoka madarakani kwani
akiendelea hataweza kumweka mtu
wao ili aendelee kulinda 'maslahi
Fulani'
3. Katiba ijayo iruhusu serikali tatu
na by any means ilazimike kuwa EL
awe rais wa Tanganyika, Dr Slaa/
CHADEMA wa Muungano (asiye na
nguvu yoyote) na Shein aendelee
Zanzibar.

4. Moja ya watu wenye nguvu ndani
ya CHADEMA ashawishike
kugombea kama independent
candidate (sio Zitto) na malipo yake
yawe competitive na campaign yake
2015 iwe sponsored kwa gharama
yeyote ile.
CHADEMA kuweni makini sana na
baadhi ya wajumbe wa kamati kuu
ambao wanaweza kuwaharibia your
way to 2015. Muda umeniishia kwa
leo maana nasafiri muda si mrefu
otherwise nikipata muda tena
nitawapa updates. Thank you.
 
kinakufa kwa laana za damu za watu, unaua kisha unaandamana na maiti barabarani ili kupata umaarufu, e.g kumbuka ya arusha, tulivyoandamana na maiti mpaka usa

Unajua unachoongea kweli! Ulimboka, Mwangosi, Kibanda, Operation Tokomeza hizo damu zilianzishwa na CDM?
 
Chadema kufa ni ndoto sana chadema ni chama makini,ni chama kipi kilishafukuza wanachama wasaliti kama sisi m wanaweza fukuza wafukuze mafisadi tuone peoples power falsafa nzuri mno kuliko falsafa nilizoziskia Mungu kinda hadhi ya chadema na Tanzania
 
Ilishakufa kitambo sema wewe upeo wako wa kuona mambo kwa undani ni mdogo sana.
 
1. Ule mpango wa kuipasua
CHADEMA (unaohusisha viongozi
wa dini walio karibu na CHADEMA
au Slaa na kuratibiwa na idara kwa
usiri wa hali ya juu) usitishwe kwa
muda ili kuona kama mipango
mingine itafaulu.
2. JK ajiuzulu urais mnamo mwaka
2013 hivi ili chini ya Bilal na kwa
muda mfupi mabadiliko makubwa
yafanyike na CHADEMA waweze
kujumuishwa katika serikali hasa Dr
Slaa ili kujipanga kukimaliza
CHADEMA kwa urais zaidi. Ingawa
JK alihofia hii technique kwa maana
ya Bilal but hii naona ina mkono wa
“wafanyabiashara” wakubwa wa
mataifa Fulani ambao wanataka
biashara zao ziende vizuri kama JK
ataondoka madarakani kwani
akiendelea hataweza kumweka mtu
wao ili aendelee kulinda 'maslahi
Fulani'
3. Katiba ijayo iruhusu serikali tatu
na by any means ilazimike kuwa EL
awe rais wa Tanganyika, Dr Slaa/
CHADEMA wa Muungano (asiye na
nguvu yoyote) na Shein aendelee
Zanzibar.

4. Moja ya watu wenye nguvu ndani
ya CHADEMA ashawishike
kugombea kama independent
candidate (sio Zitto) na malipo yake
yawe competitive na campaign yake
2015 iwe sponsored kwa gharama
yeyote ile.
CHADEMA kuweni makini sana na
baadhi ya wajumbe wa kamati kuu
ambao wanaweza kuwaharibia your
way to 2015. Muda umeniishia kwa
leo maana nasafiri muda si mrefu
otherwise nikipata muda tena
nitawapa updates. Thank you.

Lo!! MUNGU atusaidie kuepuka mipango hii miovu, safiri salama na tafadhali usisite kutupatia ripoti ya haya yote kwa kirefu.
 
kinakufa kwa laana za damu za watu, unaua kisha unaandamana na maiti barabarani ili kupata umaarufu, e.g kumbuka ya arusha, tulivyoandamana na maiti mpaka usa
Kababu Kababu tumia akili yako kufikili duh saa nyingine nawaonea huruma nyie watu wa Lumumba. hivi ukiwa unalipwa ili ufanye kitu basi akili zako zote unajaza taka taka. siku utatakiwa utumie akili yako ya kawaida itakuwa haipo tena
 
CDM hawafi ila wnamwaga vyakula. Wameshamwaga mboga bado kidogo watamwaga ugali. Heshima na utukufu vitaendelea kubaki kwa chama cha kijani na njano.
 
Hizi taarifa ulikuwa unapewa na Edward Snowden kabla hajakimbia NSA? au yule jama wa wikileaks?

1. Ule mpango wa kuipasua
CHADEMA (unaohusisha viongozi
wa dini walio karibu na CHADEMA
au Slaa na kuratibiwa na idara kwa
usiri wa hali ya juu) usitishwe kwa
muda ili kuona kama mipango
mingine itafaulu.
2. JK ajiuzulu urais mnamo mwaka
2013 hivi ili chini ya Bilal na kwa
muda mfupi mabadiliko makubwa
yafanyike na CHADEMA waweze
kujumuishwa katika serikali hasa Dr
Slaa ili kujipanga kukimaliza
CHADEMA kwa urais zaidi. Ingawa
JK alihofia hii technique kwa maana
ya Bilal but hii naona ina mkono wa
"wafanyabiashara" wakubwa wa
mataifa Fulani ambao wanataka
biashara zao ziende vizuri kama JK
ataondoka madarakani kwani
akiendelea hataweza kumweka mtu
wao ili aendelee kulinda 'maslahi
Fulani'
3. Katiba ijayo iruhusu serikali tatu
na by any means ilazimike kuwa EL
awe rais wa Tanganyika, Dr Slaa/
CHADEMA wa Muungano (asiye na
nguvu yoyote) na Shein aendelee
Zanzibar.

4. Moja ya watu wenye nguvu ndani
ya CHADEMA ashawishike
kugombea kama independent
candidate (sio Zitto) na malipo yake
yawe competitive na campaign yake
2015 iwe sponsored kwa gharama
yeyote ile.
CHADEMA kuweni makini sana na
baadhi ya wajumbe wa kamati kuu
ambao wanaweza kuwaharibia your
way to 2015. Muda umeniishia kwa
leo maana nasafiri muda si mrefu
otherwise nikipata muda tena
nitawapa updates. Thank you.
 
kinakufa kwa laana
za damu za watu, unaua kisha unaandamana na maiti barabarani ili kupata
umaarufu, e.g kumbuka ya arusha, tulivyoandamana na maiti mpaka
usa

sUBIRI WATAKAPOKUMALIZA WEWE NA NDUGU ZAKO NDO UTAJUA KAMA NI CDMAU HAO NDUGU ZAKO
 
kinakufa kwa laana za damu za watu, unaua kisha unaandamana na maiti barabarani ili kupata umaarufu, e.g kumbuka ya arusha, tulivyoandamana na maiti mpaka usa

Sijakuelewa hebu rudia tena na ufafanue kidogo, SIJUI KAMA NI KABABU CHAKULA AU KABABU MTU ALIYEZEEKA MWEMBAMBA MFUPI, kama ni mtu utakuwa umezeeka sana mpaka kumbukumbu zimeanza kupotea naomba unifafanulie tujadili.
 
chadema imepoteza hadhi ya kujadiliwa humu jamvini, tuwazike rasmi tugange yajayo kwa mustakabali wa taifa letu
 
chadema imepoteza hadhi ya kujadiliwa humu jamvini, tuwazike rasmi tugange yajayo kwa mustakabali wa taifa letu

Sasa ni chama kipi kina hiyo hadhi, na mbona kila nikiingia jf nakuta asilimia kubwa ya thread zinahusu chadema? Hii ni ishara ya nini?
 
Back
Top Bottom