Waliotabiri kuwa Chadema kufa kabla ya 2015

Waliotabiri kuwa Chadema kufa kabla ya 2015

Kifo cha CHADEMA usiiite utabili bali sema ni utaratibu uliopangwa na kundi la watu kukiua chama hiki. Ninachotaka uamini ni kwamba CHADEMA haitakufa na watu wanapswa kuomba ili hilo lisitokee na kama likitokea watu wakazibwa pumzi hawatakubali na huo unaweza kuwa mwanzo wa mabadiliko yatakayotokana na matumizi yasiyo na mjadala.Kwa mtu yeyote anayeitakia mema Tanzania hapaswi kukubali kifo cha upinzani ili watu wapate eneo la kutolea maoni mbadala
 
Back
Top Bottom