Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 695
- 901
Umenikumbusha kitabu kimoja Cha Engineering Science kiliandikwa na mwamba mmoja aliitwa T.T Comb.Mnatumia vitabu vimetungwa enzi za mjerumani kina mambo mengi balaa.
mashine ticha kaificha tu inapigwa na vumbi tu ofisini, hamtumii.
Kuna ticha anaitwa mwakasege pale iyunga wa welding, yule wanafunzi wake alikuwa anawafundisha mpaka practical. Naamini wale jamaa wakitoka pale wanaweza kujiajili.
Yaani ukitembelea humo, ilikuwa kama unawachungulia NECTA wanavyoingia kwenye mfumo.