Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Natamani sana kujua hawa wasomi wetu wa Sayansi ya Siasa wanavyosaidia siasa nchini mwetu
Natamani sana kujua hawa wasomi wetu wa Sayansi ya Siasa wanavyosaidia siasa nchini mwetu
Ngoja wenyewe waje watueleze vizuri juu ya hili.
ningekuwa na madaraka ningepunguza kabisa idadi ya wanafunzi
wa baadhi ya hizi taaluma,hasa hiii ya political science......
ni mzigo na kuongeza wapiga porojo nchini......
kwani huyu mh zitto kabwe alisomea nini pale ud na huyu mh john mnyika..
sio hicho unacho uliza..
Mkuu kwenye nchi yetu hata mainjinia, madaktari et al hawana umuhimu wowote, waamuzi wakuu wa kila jambo ni wanasiasa wenyewe. Taaluma iko nyuma ya siasa Tanzania.. Labda unifafanulie mchango unaohitaji kuuona wa political scientists ni upi haswa? Wanazuoni wa siasa nchini mwetu aidha hufariki ktk mazingira ya kutatanisha (H. Othman, S. Chachage,) au hutengwa na Serikali (M.Baregu) au hupuuzwa tu kila wanachosema...
kutokana na mikataba feki tuliyowahi kuingia kama nchi inabidi tuanze kuhoji mchango wa Wanasheria wetu? Kuporomoka kwa thamani ya Tsh tuhoji mchango wa wanauchumi wetu? Vifo vinavyoepukika mahospitalini tuhoji mchango wa madaktari wetu? Mgao wa umeme na barabara zisizopitika, tuhoji mchango wa wahandisi wetu?
Hakuna tofauti kati ya political science na Bussineess admin/Bcom..... nchi za wenzetu, political science ni degree very hot!! mashirika mengi hupendelea watu wenye political science degree, Polisci is not blah blah, we kaangalie prospectus halafu fananisha na Bcomm(mgt).
kwani huyu mh zitto kabwe alisomea nini pale ud na huyu mh john mnyika..
sio hicho unacho uliza..
Are you serious1!!??Political science haipatikani kwenye chuo chochote nje, tena wala haiana faida yoyote kwa taifa letu. Usikubali mwanao asome kozi za kijinga kama hizi
Natamani sana kujua hawa wasomi wetu wa Sayansi ya Siasa wanavyosaidia siasa nchini mwetu