Waliosoma Mwadui Secondary - Shinyanga

Vasco Dagama

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
52
Reaction score
10
Mie nilisoma hii shule "O" from 1987 - 1990, Iko mgodi wa Almasi Shinyanga

Fufahamiane mlioko humu asanteni
 
Sina habari duhh lakini imekwisha sana siku hizi nafikiri maana tangu nitoke sikuwahi kurudi

Wakati huo Head Master alikuwa nani....Nakumbuka Kina Apolo Mathias,Beatruce Rwegeshora, Monica......Mwalimu Barabona,Gontako,KK...Kaasa...Shule Haikuungua habari sio kamili..
 
Wakati huo Head Master alikuwa nani....Nakumbuka Kina Apolo Mathias,Beatruce Rwegeshora, Monica......Mwalimu Barabona,Gontako,KK...Kaasa...Shule Haikuungua habari sio kamili..

Headmaster Kachuchuru, mie namkumbuka Evans Lyimo
 
Headmaster Kachuchuru, mie namkumbuka Evans Lyimo

Ohh watoto wa lyimo,fina evance na Nevy....kwao kulikuwa na limao sana...pale njiani kutokea Secondary...this days nafikiri yuko dar..nilimuona mitaa k.nyama...Huyu Headmaster alikuwa mkari sijui atakuwa pande gani siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…