Waliosoma Mringa Tech & Secondary School Miaka ya 1986 - 1989 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliosoma Mringa Tech & Secondary School Miaka ya 1986 - 1989

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ndallo, Jan 26, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Jamani natafuta school mates wangu waliosoma miaka hiyo hapo juu katika shule hii enzi hizo ilikua ni shule ya wazazi Mringa Technical and secondary school Arusha naomba tuwasiliane tafadhali.
   
 2. sili

  sili JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2014
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 293
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Ndallo naweza pata address ya hyo shule? Kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo sasa nataka kufanya mawasiliano nao kuhusu utaratibu wa usajili
   
Loading...