Waliosoma Minaki high school

Waliosoma Minaki high school

Makongoro,nikahamia mnyampla!!!!!!faza amevuta!!!!
Mukulu yupo na misifa yake
Mbuzi!!!!!Huyu jamaakpnd naingia minaki,nikajua ndio jina lake!!!siku moja alinituma kwa headboy,nkamwambia headboy,"mwl mbuzi anakuita" headboy akaniambia sio jina lake.akikusikia atakuua
Mtosheko
Mama kinyo n.k
 
Nyerere limebadilishwa jina mwaka juzi (2014).waliofeli walikuwa ndo wanatupwa huko,wapenda nchi wakalalamika eti nyerere anazalilishwa.likaitwa AZIMIO
 
Mimi nilisoma MWAKA 1971-74 mabweni yalikuwa na maji na hayo hayo SHABANI ROBERT. MNYAMPALA. LUMUMBA MAKONGORO NA MKWAWA. Kuna mzee alikuwa night guard tulikuwa tunamwita NAZIMIA sababu ya kuwasha taa jioni na kuzima asubuhi. Waalimu wakùu Mwl ELINAZA nasikia ni marehemu Mwl KATE NDE sijui yuko wapi. Waalimu wengine Mwl Mhango Orji (mnigeria) hap endi maji na ya kiingereza William, curthbert au George) dar asani hamuelewani nilisimsahau Mwl Gorge Mpelumbe yeye ni mjomba wangu tupo naye tunajenga taifa. Lile hall la mikutano tulilifungua wa kati wa graduation MWAKA 1974 ulipigwa muziki a aah. Old is gold
Duuh
 
Them Days... 97-98 A level nilipita pale, Mnyampala lilikua bweni la matozi, Watoto wa mbwa tulikua tunakaa Makongoro na Mirambo! Ijumaa tunakamata DCM tunashuka town kula bata, Enzi hizo mwalimu mkuu Marehemu Mjale(RIP)! Sijui Minaki ya sasa ikoje maana hata matokeo ya kitaifa siku hizi haisikiki kabisa.. i miss them days
 
Same boys high school veterans PCB & sio mbaya hata na ww wa CBG mm pcb 2014/2016 gonga like tum suport mwl.kasio kwa ku onesha ma zeroooi
 
Mimi mkija town mlikuwa mnakuja AZANIA ,nawasalimia watoto wa bush nyie.
 
Advance nikasoma Pugu na huko nikakutana na mtabe wa Chemistry alikuwa anaitwa Kiberiti
 
Daaah nakumbuka mkuu
That time tulikua F5 ( mi nilikua CBG)
Mgomo ulikua organized na F6
Nashukuru viongozi wa mkoa,wilaya na uongozi wa shule waliu solve kiutu uzima hakuna aliyefukuzwa shule
Nakumbuka hadi faini tuliyolipa ilikua Tsh 3200 kila mwanafunzi ili kuwanusuru waliotajwa katika mgomo wasifukuzwe shule
Ile purukushani ndo iliyofanya J.J KAAYA aondolewe Minaki na kumpa fursa Mr.Chungu kuwa head of the School,na hakika Mr.chungu aliifanya Minaki kuwa ya maziwa na asali,hongera sanaaa kwake brother CHUNGU,he is a good leader kwa kweli.
NAKUMBUKA FFU WALIPOTIA TIMU MINAKI KILA MTU ALITAFUTA PA KUJIFACHA SIKU HIYO,MIONGONI MWA FFU ALIKUWA AMELEWAAAAA!!!!ANAPEPESUKA MWENYEWE,HAHAHAAAAA
 
Nilikuwa Minaki 2009-2011,
Bweni Lumumba nilikuwa Chairperson.
Nilikuwa HGE.Wengi wananikumbuka kwa Kinjemba. Nimewakumbuka sana. Ebu tuorginize event ya kutuleta pamoja.
 
Nilikuwa Minaki 2009-2011,
Bweni Lumumba nilikuwa Chairperson.
Nilikuwa HGE.Wengi wananikumbuka kwa Kinjemba. Nimewakumbuka sana. Ebu tuorginize event ya kutuleta pamoja.
Nilikufundisha wewe ulikuwa na Akna Mwasote
 
Nilipita minaki 2014-2016 daah maisha ya minaki was so nice

HAKUNA kitu nilikuwa napenda Kama ki drop weekend.
 
Back
Top Bottom