Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa

Naweza pata Used BIOLOGICAL SCIENCE humu ndichi??
Please help!
 
PCM mbona wachumba Tu, hahahahhah
PCM wachumba tu , kwa kuwa hesabu ina tabia ya kukaa kichwani ukiwa mtu wa ku solve , kwa hiyo baadaye ukisha izoea unaweza usipitie kabisa na bado ukachana au ukapitia baadhi ya topics tu basi, ila kwa pcb baba lazima usome kila kitu kuanzia michoro , definitions mbalimbali na vitu vingine kama hivyo
 
Hua naikubali sana roger mun caster ,chand , hivyo vilikuwa moja ya vitabu safi Sana aseh pamoja na Biological science
PCB wengi hupenda kuita "BS" Like jitabu jekundu
 
Hua naikubali sana roger mun caster ,chand , hivyo vilikuwa moja ya vitabu safi Sana aseh pamoja na Biological science
PCB wengi hupenda kuita "BS" Like jitabu jekundu
Mi ni BS mkuu Lugha yake nyepesi halafu inabembeleza huwa haiboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…