Nilisoma miaka mingi iliyopita ktk shule maalumu O' level, nikaenda A' level ktk shule maalumu but nilijikuta nimekuwa nikisoma naelewa lakini baada ya wiki au wiki mbili sikumbuki niliyokwishasoma. Nikahisi nimekuwa kilaza. Nikawaambia walionitangulia (form 6) wakanambia hiyo ndio PCB inatakiwa uwe unakariri kariri na wala sio kwamba umekuwa kilaza bali mambo ni mengi.
ndanda pcb 2013Ha ha ha usjali bro 1 love
Niiaka 16 toka nimalize pcb na nafanya kazi tofauti na udaktari,i wish nirudi nisomee udaktari sababu y ya pesa,kuna pesa sana
Hehehheh namkumbuka Anko munkasta. At least alikuwa fair Ila Anko Nelkono[emoji15] kama sizonje vile [emoji57]View attachment 395795
View attachment 395796
View attachment 395797 Hivi ni miongoni mwa vitabu vya phys nilivyokuwa navikubali
Ha ha Ndanda Boy peruuu peruuu!!!!Tenx bro
All PCB and CBG from Ndanda high school plz like
Hahahahhaha dàaa hahahahhaha umeniua sanaaaa hahahahhaha kwenye kutokuoga hapo kweli mzee tulikuwa tunahisi kwamba mechanism zote zita evaporateMkuu umenkmbsha skuli CBG tuliwaita cabbage
Af wao PCB waliitafsri Kama Pumbu Chafu Balaa, kwa maana PCB hamnaga kuoga ...
Hahahahhaha etiii asanteee brnAhsante brn
Mwaka gnTenx bro
All PCB and CBG from Ndanda high school plz like
Hahahahhaha daaaaaa hahahahhahaAmani mkuu, pngza ubishoo lakn, Chuo kna Ku dsco maana najua coz za science hazna kuremba hata edu. Ukipata Chuo Kama sua utataga
Pcm tupo fiti wewePCM mbona wachumba Tu, hahahahhah