Waliosoma Makongo High School karibuni

marehemu Kombaha aliwahi kunipa kofi mpaka chini mtu mzma nikawa sijielewi, afu akaenda kwa kipingu akamwambia niondoke mimi abaki yeye AU aondoke yeye nibaki mimi
Duh pole sana Kombaha alikuwa na mikwara mingi sana.. We ulimaliza lini?
 
Duh!namkumbuka sana mkaanga sumu(r.i.p),bruce,bab side.
Bwawa la samaki lilichimbwa na wanafunzi kwa hisani ya marehemu miraji,late lt.maundi mzee wa nyundo.

duh! Kumbe Mkaanga Sumu alishavuta? R.I.P. alikuwa pale chemistry lab... Jina lake lilinifanya nionekane muongo endapo nitapiga story ya makongo na kumuhusisha!
 
hahaha huu uzi umenikumbusha mbali,Enzi za marehem miraji kutuimbisha taarabu ofisini tena kidole juu. Nakumbuka kuna siku aliniamrisha nifute ubao kwa ulimi....daah kilichofuata baada ya hapo,siwezi kusahau
 
Sitasahau watu hawa, Afande miraji kwa kuniambia nitembee kama mbwa anakojoa, master, deliki kidedea mwalimu wa commerce, pia mambo kama joro, kucheza gofu hadi daraja la mlalakua, kubuni mbinu ya nembo mbili shifti one na two ili nisikae mstarini, pamoja na babu side ukichelewa unapita gate dogo uku unaanzisha story ya yanga
 
Wapi KIjenge shule ya MSINGI?
 
Ahahaaa wapi Mahundi huyu jamaa. Alikuwa anapiga konzi sana darasan alitufundisha math.form.2,benny,werere,hawa wote waalimu wa math.
 
Marehemu Miraji alikuwa anapenda sana sifa, alimpiga jamaa makonzi kwao Area C kisa tuu jamaa alikuwa amevaa Uniform hakafu hajachomekea
Jamaa Gani huyo mkuu?nimeingia kidogo huo mtaa
 
Nyie wote mliochangia uzi huu wote mlikuwa watukutu sana! Maana wote mnasimulia jinsi mlivyokula makonzi. Nani anamkumbuka Ruth Kitundu, au binti wa Mama Kyulule?
Huyu Ruth namfahamu,nimemaliza nae form four
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…