wapi Mama Muchwa
Sitomsahau marehemu Miraji. Siku moja akitikimbiza na baiskeli kutoka Mwenge tukaingia kwenye kalavati nae akatufuata humo tulikuwa wengi hacha tumshushie kichapo . Hiyo cku sitahisahau kamwe.
Marehemu Miraji alikuwa anapenda sana sifa, alimpiga jamaa makonzi kwao Area C kisa tuu jamaa alikuwa amevaa Uniform hakafu hajachomekea
Jamaa alikuwa analazimisha kila mtu anunue kitabu cha kifaransa,mpaka leo ninacho.alikuwa mikwara ya kutosha.Karibu wachangiaji wote hajamsahau marehemu miraji.. Lakini hakuna hata mmoja aliemtaja Marehemu Kombaha aliekuwa anafundisha kifaransa. Jamani alikuwa mtata balaa.. Hakuna yeyoye aliefundishwa nae?
Jamaa alikuwa analazimisha kila mtu anunue kitabu cha kifaransa,mpaka leo ninacho.alikuwa mikwara ya kutosha.
Duh!namkumbuka sana mkaanga sumu(r.i.p),bruce,bab side.
Bwawa la samaki lilichimbwa na wanafunzi kwa hisani ya marehemu miraji,late lt.maundi mzee wa nyundo.
Karibu wachangiaji wote hajamsahau marehemu miraji.. Lakini hakuna hata mmoja aliemtaja Marehemu Kombaha aliekuwa anafundisha kifaransa. Jamani alikuwa mtata balaa.. Hakuna yeyoye aliefundishwa nae?