Waliosoma Makongo High School karibuni

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,449
Reaction score
9,739
habarini wana JF, napenda kuwakaribisha wadau waliosoma Makongo high school enzi hizo tukumbushane mambo mbalimbali ambayo kwa namna flani yalikufanya kutosahau maisha ya pale, mimi mpaka kesho siwezi kumsahau afande Miraji (marehemu sasa) alinipiga konzi mpaka nikakaa chini kwenye sakafu badala ya kiti, vilevile siwezi kusahau JORO nilikuwa mdau mkubwa, karibuni wadau na nyinyi mtoe ya kwenu...........
 
Haha.. Jolo for life, kuna JITU linaitwa KENYA-MAN.. akikucharaza bakora yake moja tu lazma ukae
 
Hahahahahaha umenikumbusha mbali xana babu...kwenye joro pale miaka ya hiv karibun alikuepo babu juma pale na jamaa moja hivi hivi bongebonge...Kwenye mihogo pale kati,juice ya miwa....hahahahahaha dah
 
Kitu cha mtibwa, nakandamiza na chapat au sambusa za kanteen
 
Hahaaaaaaaaa longtime kinoma mi namkumbuka sana Meja Yeyeye(marehemu) alikuwa akiongea mate yanamtoka kama mvua, alikuwa anazinguaga kichizi. Halafu Babu sijui yuko wapi siku hizi
 
Babu Chacha alikuwa anatupiga kicha anabusu mkono sijui yuko wapi sasa !!!!. Babu alinipa jina la Machomacho. Wapi Hadija Shaibu na Roida Nyinge!!!!!
 
sijui wewe ulisoma kipindi cha nyumba mabati au? afande babu na miraji (rip) getini dah! wako wapi form 4 wa kwanza baada ya kuwa makongo? nilikuwa mtundu kupindukia lkn mwanafunzi bora sayansi
 
Sitomsahau marehemu Miraji. Siku moja akitikimbiza na baiskeli kutoka Mwenge tukaingia kwenye kalavati nae akatufuata humo tulikuwa wengi hacha tumshushie kichapo . Hiyo cku sitahisahau kamwe.
 
Nilisoma kipindi cha mabati form one d2 na form two shule ikasajiliwa na kuitwa Makongo mwaka 1995. Wapi Lilian Kilongomtwa,Maurine Mvuoni,Florida Mosha kipindi cha Longway
 
Hahahahahaha umenikumbusha mbali xana babu...kwenye joro pale miaka ya hiv karibun alikuepo babu juma pale na jamaa moja hivi hivi bongebonge...Kwenye mihogo pale kati,juice ya miwa....hahahahahaha dah

Juice walikuwa wanauza Wapemba fulani hivi
 
Hahaaaaaaaaa longtime kinoma mi namkumbuka sana Meja Yeyeye(marehemu) alikuwa akiongea mate yanamtoka kama mvua, alikuwa anazinguaga kichizi. Halafu Babu sijui yuko wapi siku hizi

Major Yeyeye sikumkuta, ila nilisikia stori zake, naskia alikuwa nuksi kwa totoz
 
Babu Chacha alikuwa anatupiga kicha anabusu mkono sijui yuko wapi sasa !!!!. Babu alinipa jina la Machomacho. Wapi Hadija Shaibu na Roida Nyinge!!!!!

Babu Chacha alikuwa anakwambia piga magoti halafu anachapa bakora za mgongo. Alishastafu jeshi
 
sijui wewe ulisoma kipindi cha nyumba mabati au? afande babu na miraji (rip) getini dah! wako wapi form 4 wa kwanza baada ya kuwa makongo? nilikuwa mtundu kupindukia lkn mwanafunzi bora sayansi

mimi nilisoma shule ilishakamilika mixer Nyambizi Hall
 
Nilisoma kipindi cha mabati form one d2 na form two shule ikasajiliwa na kuitwa Makongo mwaka 1995. Wapi Lilian Kilongomtwa,Maurine Mvuoni,Florida Mosha kipindi cha Longway

duuh nyie mlisoma kitambo sana, Longway baadae alienda kuwa H/M wa Airwing
 
duu hiii shule noma sana nakumbuka niliambiwa na mama mosha nisirudishia apparatus kwenye practical physics ili wengine waangalizie duu.. miraji rip babu chacha shenzi kabisa.. wapi master
 
Wapi Mayebe,Mgongolwa,kisarika,Mwashiga,Madeghe n.k

Master Mayebe alikuwa anachomekea kama Pedeshee flani hivi, Kisarika alikuwepo alikuwa mkuu wa chuo cha ufundi cha Makongo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…