duh namkumbuka sana kisusange, mwakasege, na yule mwalimu aliyekuwa anapigwa na wanafunzi............................
duh huyo jamaa mda mwingi alikuwa anafukuza na wanafunzi afu ni mtu wa bustani sanaha ha ha!!bila shaka ni MTANZANIA
unanikumbusha sana kituo cha kusomea.............enzi za kisu!!dah ucpime maziwa ya cattle boma ktk uji!!
unanikumbusha sana kituo cha kusomea.............
duh apa mie 2003Engineer Solomon Mwasota darasani haiingii na muda wote yupo kijijini Mbalizi lkn mitihani yote anapiga A!
Nimesoma na watu wengi lkn kijana huyu alikuwa ana uwezo wa ajabu darasani!
Mwaka 1992!Nani hapa alimaliza mwaka huu Iyung