Acheni dharau nyie wangese kwani hkl sio kombi?kwani English language na basic maths vina tofauti gani?acheni dharau nyie afu eti mnawaita madogo waliosoma hio combination,, we kama kibaya kwako kwa mwenzio kizuri na kizuri kwa mwenzio kwako kibaya kwaiyo tuache unaaa