waliosoma HKL tukutane hapa

waliosoma HKL tukutane hapa

we hujielewi ndo maana... sa umecoment nini if your not intrested with!!!!...kiherehere tu na kutafta kiki
Mnatusumbua sana na vimada vyenu vya kisenge , subirini hizo post zenu muende huko vyuoni na sio kutuletea utoto wenu hapa
 
Hatusomi Kufaulu Lazima...nany mnachangamoto...
 
Nyie Madogo Kweli Chenga, Yaani mnafananisha Hesabu Pure Mathematics Na Language Aka HKL ,daaaah kweli Hakutukanae Hakuchagulii Tusi...
 
Nyie Madogo Kweli Chenga, Yaani mnafananisha Hesabu Pure Mathematics Na Language Aka HKL ,daaaah kweli Hakutukanae Hakuchagulii Tusi...
Hakutukanae (akutukanae) Jifunze kiswahili mkuu
 
PGM na PCB ni comb za kike?!!
Basi madaktari wengi wangekua wanawake...

Umesoma comb gani wewe advance?

Pixel
 
Back
Top Bottom