A
Anonymous
Guest
Mamlaka iliyoanzisha Kozi hii ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro.
Sioni nafasi zikitangazwa kutoka Serikalini ingali kila mwaka wanachuo wanazidi kuhitimu na kurundikana mtaani pila kujua hatima yao wapi watatumia elimu yao waliyoipata chuo kikuu kupitia kozi hiyo.